Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Visit Tanzania and climb mount Kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema anataka kuondoa stress yaani kuchangamsha akili na mwili hahahaaUngesema upo wapi, utakua kwa siku ngapi, na makadirio ya budget, na unaenda mwenyewe au wawili+
Thank youVisit Tanzania and climb mount Kilimanjaro
Ukagegede kiumbemie jamani nataka hotel nzuri maeneo ya goba ambayo in breakfast na wifi budget 50k plz
sI hapa kisarawe kizimzumbwi Niko tayari kuwa nawe tuvute hewa safi karibu sana
Why? PakawaidaNgarasero,Arusha
Umejaribu kufika mkoa wa Mbeya?Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.
Ahsanteni
Rafiki unataka kwenda na nani huko? Halafu umeadimika sanamie jamani nataka hotel nzuri maeneo ya goba ambayo in breakfast na wifi budget 50k plz
Usijali tutaenda woteNipo jirani na apo aya mnipitie twende wote🤗
Sijawahi kiongozi kama Yapo maeneo nitajie tu nitafikaUmejaribu kufika mkoa wa Mbeya?
Mi popote nitaenda as long as Zina hizo sifa nazozipendaTaja na mkoa
Au hata Shinyanga utaenda?
Bilashaka Ni lushoto hii eeEast Usambara nature reserve, utafurahi na kuburudika moyo wako
Iko wapi hiiSwiss au Seychelles.
AhsanteNature & camping, nenda Meru camp.
Wana tent’ BB.
Asbh unaweza fanya paintball range,, zipline kisha forest walk to waterfall.
Ukirudi umechokaa.
Next day buggy forest adventure na quidbike. Ukimaliza unaenda town kusikia makelele kdg.
Pic attached View attachment 3003686View attachment 3003687View attachment 3003689