Natafuta Sehemu nzuri za kwenda kurelax Na Ku experience nature

Hivi ile hotel ambayo watu walikua wanaenda kulisha twiga kwa 1200 bado ipo hapo kigamboni
 
Ushongo Beach Pangani
 
Hey D can i have more info about the paintball range and quadbike place please, and thank you 😊
Hello CAPT..
Picture down ndiyo paintball… utalenga chupa sio mzuri kimahesabu lkn nadhani ni mita km sjui.
Pana ka umbali kidogo.. unaweza kukosa pia km sio mlenga shabaha mzuri.

Quadbike zipo pia
Wanacharge for mins/ hrs..
unadrive mwenyewe.. km muoga utaenda na dereva wao.

Pia wana zipline

Location ni Meru camp. Ni Kms chache kutoka Arusha Town

 
Paintball naifahamu vizuri , i just wanted to know ni wapi and itakuwa unyama if ukiweka na rates zao both quads na paintball
 
Paintball naifahamu vizuri , i just wanted to know ni wapi and itakuwa unyama if ukiweka na rates zao both quads na paintball
Panaitwa Meru camp
Mt Meru hotel ile rough road pale opposite inayoenda Sekei.. one way mpk unafika.

Quadbike.
15 mins - 37,500
30 mins - 75,000
1hr - 125,000
Guide fee/ sjui wanaita pesa ya serikali elf 10 separate na hizo amount hapo juu.

Paintball ipo pia Meru camp
Nyingine ipo chemka hot spring - Moshi

Elf5. Ball 5
Elf 10. Ball 10
 
Thank you so much, 🀟🏾 you rock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…