Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 110
- 169
Thanks mkuu, naomba suggestions walau mbili kwa nature ya online meeting.restaurants za masaki zote zina WiFi
Many thanks, nitaenda kupatizama.Instabul mliman city there's a WiFi
Ufananii na masikhara mzee baba.Nenda Airport
Ila Kwa meeting nafikiri ungepata location ambayo utakaa ghorofani ambayo haina movement au unaonajeMany thanks, nitaenda kupatizama.
Mkuu naishi uswahilini, siunajua tunajitafuta bado hatujajipata. Ndio tunalisaka tobo kama hivi tunapata invitations. Hizi nyumba zetu jirani anaweza fungulia singeli mpaka mwisho na hataki mtu amueleze lolote.Mostly public WiFi is not safe.
Kwanini usinunue data ukatulia kwako?
Au unaishi Manzese au kwa Mtogole nk kwenye kelele nyingi?
Exactly, ndio nilichokuwa nawaza pale Istanbul uwa napita tu sijajua ndani kupo vipi.Ila Kwa meeting nafikiri ungepata location ambayo utakaa ghorofani ambayo haina movement au unaonaje
Pole sanaMkuu naishi uswahilini, siunajua tunajitafuta bado hatujajipata. Ndio tunalisaka tobo kama hivi tunapata invitations. Hizi nyumba zetu jirani anaweza fungulia singeli mpaka mwisho na hataki mtu amueleze lolote.
Karibu nyumbani kwanguNatafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Sio mbwembwe wala u-much know kama unavyochukulia tunajitafuta. dont be someone who judges others without understanding their situation. Stop that habit, its not good.Tulia jiunge bando kaa chumbani kwako ..........usijekusumbua watu na iko kiraputop chako kipya .................vijana wa intern punguzeni mbwe mbwe ndio maana mnashindwa kuajiliwa kwa ajili ya sifa .........much know
Amiin 🙏🏽Pole sana
One day yes
Yote sawa........lakini ndio umeshindwa hata kukaa kwenye sebule ya baba yako kwenu ufanye mambo yako personal??Sio mbwembwe wala u-much know kama unavyochukulia tunajitafuta. dont be someone who judges others without understanding their situation. Stop that habit, its not good.
Mimi naishi ghetto, baba yangu yupo mkoani.Yote sawa........lakini ndio umeshindwa hata kukaa kwenye sebule ya baba yako kwenu ufanye mambo yako personal??