Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa braza najua lengo lako siyo baya ila sasa presentation yako ndio imereta mjadala..........kusema unatafuta venue..........pesa unayo?? Maana venue zipo nyingi tu .........nakumbuka wakati niko bongo hata pale southern sun pia pazuri.......ila pesa uwe nayoMimi naishi ghetto, baba yangu yupo mkoani.
Hahahahaha mpaka afanyie huko, nauli, japo na soda, si bora sasa akanunue bando tu. Yaani binadamu bhana. Anahudhulia mkutano usio na masrahi!?!? Na uwezo wa banso hana! Lakini la kuingia JF analo!restaurants za masaki zote zina WiFi
Wifi zipo kibao kwenye mahotel, ila huwezi kutrust Public wifi kufanya kitu serious kama video meeting, unless ni marafiki tu.Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Tulia jiunge bando kaa chumbani kwako ..........usijekusumbua watu na iko kiraputop chako kipya .................vijana wa intern punguzeni mbwe mbwe ndio maana mnashindwa kuajiliwa kwa ajili ya sifa .........much know
Ni official meeting, nafanya presentation ya proposal yangu. Ishu ni bando la kukaa online muda mrefu na mazingira yangu nayoishi sio rafiki sana kugarantii kikao. Anyway ngoja nione kama nitapata sehemu ya uhakika ikishindikana nione plan B.Wifi zipo kibao kwenye mahotel, ila huwezi kutrust Public wifi kufanya kitu serious kama video meeting, unless ni marafiki tu.
Mara Mia unga bando lako mwenyewe
Asante nimekuelewa.Public WIFI sio realiable kijana wangu, kwanza ziko slow sana, Kwahiyo meeting utakuwa unabreak mara nyingi kiasi watakuona hauko serious.
Kama tatizo ni kelele mahali unapoishi, nenda hoteli yenye lounge/restaurant iliyotulia unga bando lako ingia meeting. Hoteli zote kubwa kubwa zina restaurant zilizotulia.
Au coffee shops, japo kunakuaga na kelele kiasi.
Kila la heri.
Ndio hivyo inabidi kukubali mkuu, dunia ina watu wema na watu wabaya ni lazima ukutane nao iwe online au offline.Ukiwa na shida ya msingi then ukaja kutafuta majibu huku jamii forum lazima ujiandae kisaikojia kwa ajili ya wapiga Spana aiseee 😂.
Yaani kama watu Wana nyongo ila hawana pa kuitema ... Wakipata uzii wanatemaaa Sanaa!
Mkuu Mungu akusaidie ufanikishe jambo lako! Mimi nipo ikwiriri huku hata dar sipajui
Usiangaike, tafuta lodge/hotel yoyote, weka bando lako, jifungie ndani, fanya kikao ukiwa mazingira tulivu.Thanks mkuu, naomba suggestions walau mbili kwa nature ya online meeting.
Tatizo anaichukulia hii ishu ki-uzito sana, wakati ni kitu cha kawaida sana. Inawezekana labda kwa sababu ni mara ya kwanza, mbwembwe zinakuwa nyingi.Tulia jiunge bando kaa chumbani kwako ..........usijekusumbua watu na iko kiraputop chako kipya .................vijana wa intern punguzeni mbwe mbwe ndio maana mnashindwa kuajiliwa kwa ajili ya sifa .........much know
The best one!Usiangaike, tafuta lodge/hotel yoyote, weka bando lako, jifungie ndani, fanya kikao ukiwa mazingira tulivu.
You are correct! I am the type who goes all in on anything that adds value to my life. I dont do disappointments and I’m not about regrets.Tatizo anaichukulia hii ishu ki-uzito sana, wakati ni kitu cha kawaida sana. Inawezekana labda kwa sababu ni mara ya kwanza, mbwembwe zinakuwa nyingi.
Tu as raisonYou are correct! I am the type who goes all in on anything that adds value to my life. I dont do disappointments and I’m not about regrets.