Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Vingereza vingi.Sio mbwembwe wala u-much know kama unavyochukulia tunajitafuta. dont be someone who judges others without understanding their situation. Stop that habit, its not good.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vingereza vingi.Sio mbwembwe wala u-much know kama unavyochukulia tunajitafuta. dont be someone who judges others without understanding their situation. Stop that habit, its not good.
Acha utegemezi kanunue kifurushiNatafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Bro, hii ni kwa mtu yoyote au kuna vigezo vya kupata hii service? It sounds very good 😊Kama bado haujapata sehemu au kikao bado, fika American Corner ipo ndani ya Makumbusho ya Taifa, Posta, mkabala na Taasisi cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
Utapata unachotaka bure. Utapewa vocha za Wi-fi na kuna sehemu tulivu utatumia kufanya mkutano wako.
MUDA
09:00-15:00
Jumatatu- Ijumaa.
Ununue kitu upate WiFi....sio bure kabisarestaurants za masaki zote zina WiFi
Kwa mtu yeyote mkuu. Kuna ofa nyingi pale na wamewekewa watanzania.Bro, hii ni kwa mtu yoyote au kuna vigezo vya kupata hii service? It sounds very good 😊
Chumbani sio pa kufanyia kazi Mzee. Ndio maana ya co-working space ama working hubs zikawepo.Tulia jiunge bando kaa chumbani kwako ..........usijekusumbua watu na iko kiraputop chako kipya .................vijana wa intern punguzeni mbwe mbwe ndio maana mnashindwa kuajiliwa kwa ajili ya sifa .........much know
Ni heri wewe umesema, wengine wakiona mtu sehemu kama hizo wanaona unajidaiChumbani sio pa kufanyia kazi Mzee. Ndio maana ya co-working space ama working hubs zikawepo.
Zinakuwa ni mahali tulivu, high speed internet kwa ajili ya online working na hata meetings.
Thanks mkuu, naomba suggestions walau mbili kwa nature ya online meeting.
Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting.
Naomba suggestions.
Nadhani ni kwa vile hatujazoea. Hizi workspaces kuna watu wanaanzisha makampuni kwa kutumia address zake.Ni heri wewe umesema, wengine wakiona mtu sehemu kama hizo wanaona unajidai