Natafuta shamba la kukodi Morogoro

Natafuta shamba la kukodi Morogoro

1:Unataka kwa ajili ya kilimo cha zao gani?

2:Morogoro ni kubwa mno na sehemu nyingi kuna hicho kilimo cha umwagiliaji, je wewe ungependelea maeneo gani?

Kilosa, Dakawa, Dumila. Kote huko unaweza piga hicho kilimo cha umwagiliaji
 
Hayo maeneo yote sawa tuu
 
Mwaka huu lkn 4, na kwa connection
Na mtu akipanda bei unarudishiwa hela yko mwenzako anapewa
Dakawa imekua ya hovyo sana
Mmmh laki 4 mbona kubwa sana aisee au kuna potential kwamba ukilima lazima utoboe...siri ni nini???
 
Back
Top Bottom