Natafuta shamba mkoa wa Pwani

Natafuta shamba mkoa wa Pwani

TUPAMBANE

Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
62
Reaction score
88
Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
 
Bei yako ndogo kweli kwa yanayofikika kwa barabara
Ila ngoja waje unaweza kubahatika
 
Mkoa wa pwani sehemu gani mimi ninayo mashamba mkuranga km1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri kwa ufugaji maji mengi bei 2m kwa eka zipo eka zaidi ya 60 wewe tu
 
Abuu mkuranga sehemu gani? Ukitoka Dar yapo kabla ya mji/halmashauri au baada ya mji/halmashauri?
 
Baada ya halmashuri kijiji kinaitwa kilimahewa km 80 kutoka dar yaani unavuka kijiji cha kimanzichana then kilimahewa, sasa maeneo yananunuliwa sana na wachina wa watu wengi wanawekeza kilimahewa. Karibu
 
Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
Utapata ila mbwinde sana
 
Lakini pia ukitaka bei hiyo njoo nikuuzie mkata, unaingina kijiji cha mazingara kama unaenda handeni kutokea dar. Utalima utafuga etc bei eka moja ni 150,000 ,ipo eka 70. Karibu
 
Umbali gani kutokea ile lami
 
Mpe sasa shamba la bei hiyo
mimi siyo dalali,... kama ningekuwa dalali ningemtafutia shamba lisilozidi shilingi za kitanzania 80,000/= kwa mkoa wa pwani na haizidi kilomita 5 kutoka kwenye barabara kuuu. tatizo mnawachukulia watu kama wametoka kidimbwi vile. hayo mashamba ya handeni umeshauzaaa?
 
Ni kweli maeneo pwani ni mengi, na kila eneo na thamani yake hvyo ni maamuzi ya muuzaji na mnunuzi. Na wala huna haja ya kusema sijui kindimbwi sijui nini kwanza mimi sio dalali nilinunua maneno mengi ndio hivyo mengine nayauza. Ya handeni sijauza karibu
 
Lakini pia ukitaka bei hiyo njoo nikuuzie mkata, unaingina kijiji cha mazingara kama unaenda handeni kutokea dar. Utalima utafuga etc bei eka moja ni 150,000 ,ipo eka 70. Karibu
Lakini pia ukitaka bei hiyo njoo nikuuzie mkata, unaingina kijiji cha mazingara kama unaenda handeni kutokea dar. Utalima utafuga etc bei eka moja ni 150,000 ,ipo eka 70. Karibu
Salama ndugu
 
Back
Top Bottom