Natafuta shamba mkoa wa Pwani

Natafuta shamba mkoa wa Pwani

Shamba lipo eka 160 baada ya Ruvu Ranch. Huwezi kuwa na hati zaidi ya eka 50 vijijini kwa hiyo ni hati 4 kila moja eka 40 kama utakubali si chini ya eka 40 hati miaka 99
 
Bei gani sasa?
 
Back
Top Bottom