THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
- Thread starter
- #21
story gan hiyo?Story ya kwenda kwenda beach uli anzisha wewe apa juzi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
story gan hiyo?Story ya kwenda kwenda beach uli anzisha wewe apa juzi ?
Unapokojoaga😚Nikakojolee wapi sasa? 😅
tayari kaka ni story nzuriPeniela je?
Pako mbali na Mimi kwasasa 😎Unapokojoaga😚
waandishi hawataki sijui.. Wanashida ganiMimi mwenyewe napenda story lkn siku hizi hamna kitu
Umughakakaka huyu nimemmaliza tayar...
Habari za asubuhi wanajukwaa. Mimi nimpenzi wa kusoma story,Naombeni msaada kwenu natafuta story ya kusoma humu JF weekend hii. kiufupi sina appointment yoyote na nilitegemea waandishi wangu wangeleta miendelezo lakini naona majukumu yamewabana kidogo . Naombeni msaada wenu...
wasalam
Story zipo nyingi tu huku, ni yeye tu kuchagua
huyu mwamba toka hata haja banned nimemfuatilia nae kutoka tarime.Umughaka
oh dah ningempata huyu kidogo angemaliza week yangu kwa amani R.I.P to himKuna yule jamaa alifariki mwaka jana nje ya nchi jina lake limenitoka ila na yeye pia ana story kali sana.
mimi sio mwandishi mkuu ila nimfuatiliaji wa story sanaSielewi! Anzisha wewe basi
shukhran mkuu.
Duh! Story zote umesoma?🤔mm story kama ina sehemu ya kwanza na kuendeleahuyu mwamba toka hata haja banned nimemfuatilia nae kutoka tarime.
mkuu nisaidie link yake ..Kuna ile ya Khumbu wa konda msafi