Natafuta sumu au mtego wa paka pori

Natafuta sumu au mtego wa paka pori

Chinja kuku mmoja,, mpakaze sumu kisha tegesha aje amle
 
hafi mkuu.kamata tenganisha kichwa na kiwiliwili ndio sumuyake hio
Sijajua paka wa huko kwako.

Kuna sehemu chanika mzee limboa machimbo kuna mapaka mengi yanawekewa sumu na yanakufa.

Huko kwako sijajua hiyo sumu.
 
Nimeweka sumu ya panya lakini hali labda sababu ya harufu!
 
Sikia, ziba sehem zote zenye uwazi, na kwa makusudi acha upenyo mdogo sehemu moja au mbili, au pale alipozoea kupita muachie gepu kidogo tu.

Then mtegee kitanzi (sijui kama unajua kutengeneza hiyo kitu)

Weka kamba ngumu ambayo hawezi kukata kirahisi, namna ya kutegesha hicho kitanzi ndipo ufundi ulipo. Tegesha kwenye tundu, kamba iwe fupi ili akijitingisha tu kimtait.

Nimeua paka wengi sanaaaa enzi zangu kwa style hiyo, na baada ya kuwanasa nilikuwa nawapatia adhabu za kutisha.
 
Tafadhali unaweza kuchora kitanzi ili nijaribu kutengeneza? Kero na hasara ninayopata ni kubwa!
 
Ni ngumu kumuelekeza mtu kwa mchoro, ila watu wengi wanajua, hata hapo mtaani tafta mtu, ni simpo tu mbona
 
Back
Top Bottom