Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenye kujua bei ya vifaa vya mziki, mixer ya njia tatu, spiker,amplyfire, na nyaya zake nataka nianze biashara ya disco na matangazo. pia kama kuna zaidi ya vifaa nilivyo orodhesha anisaidie
Ongeza mic, chagua wireless mic, je huo mzik ni wa aina gan wa ngaz? Wenye full setup kama dek mbil mixer na majiko mawil yale kama ya dj?
Nataka uwe na dek tatu, mixer jia tatu,spika nne base 2 na mid 2. uwe mziki wa kiwango, kwa ajiri ya disco, harusi,mikutano na matangazo. hapa nataka bei anae jua tafadhari anijuze.
Dah! kumbe kazi ipo mi nilizani itacheza kati ya 3M hadi 4M.
Speaker ambazo mimi naona ni nzuri ni zile aina ya Candy, achana na fidek maana hata bei Candy zipo vizuri. Candy speaker za kawaida ikiwa Double ni 900,000, Bass zikiwa Double ni 1,000,000. Mic mbili za wireless andaa 200,000 ukiongeza na zingine jumla uandae kama 500,000 upande wa mic.
Shusha Mixer ya Laki 7 mpaka Laki 8. Nunua Booster ya 1,000,000 maana bila Booster kwa mziki huu unaweza ukashangaa unapeleka au unakaanga Mixer kila siku.
Kila la Heri Mkuu!!!
Hapa nimepata kitu
ndugu vifaa vya muziki ni expensive 3 -4 Mil haitoshi kwa kweli
Jamani mi natafuta sound processor, nikipata aina ya Inovonics itakuwa poa
mkuu candy kwenye bass sio nzuri,amezudiwa hata Na fidec bass, Na huwez kupata bass ya double ya candy kwa 1 mln,hata ya kuchonga hupati. Na asipokuwa makini wanamchakachua maana kko wanafungua original spkr wanakufungia fekero
nenda pale city sound kk utapata ukikosa nenda Morgan sounds
Speaker ambazo mimi naona ni nzuri ni zile aina ya Candy, achana na fidek maana hata bei Candy zipo vizuri. Candy speaker za kawaida ikiwa Double ni 900,000, Bass zikiwa Double ni 1,000,000. Mic mbili za wireless andaa 200,000 ukiongeza na zingine jumla uandae kama 500,000 upande wa mic.
Shusha Mixer ya Laki 7 mpaka Laki 8. Nunua Booster ya 1,000,000 maana bila Booster kwa mziki huu unaweza ukashangaa unapeleka au unakaanga Mixer kila siku.
Mkuu, pia usisahau Generator pamoja na Laptop ya kupigia mziki, itapendeza kama ukinunua na External Hard Disk yenye ITB au 2TB.
Kila la Heri Mkuu!!!