Natafuta system ya mziki mixer, spiker nk

Natafuta system ya mziki mixer, spiker nk

Mkuu, hapo kwenye laptop, mi nilizani dek na mixer zinatosha? nipe somo hapo, pia extenal hard disk, kazi yake nini pia bei ikoje?

Unaweza Kutumia Pia Mixer Za Kawaida(studio Mixer) Kwa Kuanzia Ambayo Ni Powered Mfano Kuna Lane 2000 Wtts 12 Chanel Bei Ni Laki 850 Hiyo Inaweza Sukuma Bas 2 Za Watts Mia 5 Au Mia 6 Na Mid 2 Za Watts Mia 6, Kwa Mazingira Ya Harus,vikao Au Kama Ni Mkoan Ambako Hakuna Mizik Ya Maana, Ila Kuna Dj Mixer, Ambazo Huwa Zinauza Unatafutia Dec,hz Mara Nyingi Hazina Dj Effect Za Kutosha, Ila Kuna Dec Ziko Complt Na Mixe Zake Mfano Pioneer J1000 Au J2000 Hapo Pana Uchawi Wa Sound Effct Na Plugins Za Kutosha, Huo Unafungwa Booster 1 Au 2 Cros Over ,equlizer,frequenzi Modulatort, Booster 1 Inabeba Mid Peke Yake, Booste Ya 2 Inabeba Bass
 
Mkuu, hapo kwenye laptop, mi nilizani dek na mixer zinatosha? nipe somo hapo, pia kuna uhitaji wa kuwa na dek pamoja na laptop, au dek unapotezea unanunua external hard disk

Mkuu Hata Ukiwa Na Laptop Deck Bado Ni Muhimu Maana Laptop Inaweza Kustach,has Ikikaa Muda Mrefu Inaheat, Hivyo Utatumia Dec,na Dec Za Sasa Unaweza Pia Kuchomeka Ext Hd Usb Ukapiga Mziki Hata Kama Laptop Itabuma,laptop Nziri Kwa Mziki Ni Apple
 
Mkuu kuna ile kitu huwa ni nzito kabisa nazani ina kilo 10 au 15, kwenye stand ya mziki huwa inakuwa ya kwanza chini,wengine huiita amplifire ile ndo booster?
 
Mkuu kuna ile kitu huwa ni nzito kabisa nazani ina kilo 10 au 15, kwenye stand ya mziki huwa inakuwa ya kwanza chini,wengine huiita amplifire ile ndo booster?

Hiyo Ni Booster Mkuu, Nayo Ni Amplifier,ila Mfumo Wake Ni Tofauti Na Amp Za Kawaida Kama St Au Mono,hizo Ni High Power Yaani Inafua Watts Mpaka 7000
 
Hiyo Ni Booster Mkuu, Nayo Ni Amplifier,ila Mfumo Wake Ni Tofauti Na Amp Za Kawaida Kama St Au Mono,hizo Ni High Power Yaani Inafua Watts Mpaka 7000

Nashukuru sana mkuu, hapa nimejaa material kichwani nikiingia dukani nikuagiza tu utafikiri nina mziki mwingine tayari, poa mkuu
 
Pia kuhusu cd hapa ni kuchoma au kununua og kabisa?
 
Hii mada imekua somo tosha kwangu, michango imekua ya maana saaana. Naamin tuliokrtk harakati za kuanza biashara hizi tutaleta mrejesho.
 
Nashukuru sana mkuu, hapa nimejaa material kichwani nikiingia dukani nikuagiza tu utafikiri nina mziki mwingine tayari, poa mkuu

Angalia Tu Usije Pigwa Vitu Feki,uende Na Mtaalam, Maana Kuna Jamaa Alipigwa Jbl Speaker Feki
 
Mkuu Mamaya nimeyapenda maelezo yako kwa sasa soko la vyombo vya muziki linazidi kukua mf. hapa arusha kuna maduka zaidi ya kumi yanayouza vyombo vya muziki tatizo ni ubora unaweza nunua kifaa baada ya mwezi kinakufa ingekuwa vema kama ungeanzisha uzi ili kutupa elimu namna ya kutambua og na feki.
 
Last edited by a moderator:
Cd Unachoma, Mp3 Fomat, Au Unaweza Kuwa Na Flash Yako, Unaingiza Kwenye Deck Unasoma Nyimbo Kwenye Display Unatwanga Tuu,

Asante sana mkuu, naona kilicho baki ni kutambua fake na og ya vifaa
 
Back
Top Bottom