Karibu mkuu, bajeti yenu ikoje?Nimependezwa mada hii,nahitaji vyombo vya mziki kanisani,naomba msaada wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu, bajeti yenu ikoje?Nimependezwa mada hii,nahitaji vyombo vya mziki kanisani,naomba msaada wako
Picha kwa sasa sina mkuu ila fidek ni namba nyinginez tulinunua toka 2016, mpaka sasa tunabadili coil tu ila spika zinatema mziki utadhani ni mpya.Ungeweka na model yke na picha bila kusahau bei yake mkuu
Kwa hyo haupo karibu nayo?? Nipate model number yake??Picha kwa sasa sina mkuu ila fidek ni namba nyinginez tulinunua toka 2016, mpaka sasa tunabadili coil tu ila spika zinatema mziki utadhani ni mpya.
Kwann mnaunguza coil Mara kwa Mara?Picha kwa sasa sina mkuu ila fidek ni namba nyinginez tulinunua toka 2016, mpaka sasa tunabadili coil tu ila spika zinatema mziki utadhani ni mpya.