Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaya embu nicheki kwa sms kiongozi 0656549090Kuna kinu.kipya cha opra wametoa ni balaaaaa! Hicho funga kazi
Sio vibaya kufuta kauli, sasa hivi ninafuta kauli. Fidek toleo jipya ni mziki mwingine, zile spika zinatema balaa.Speaker ambazo mimi naona ni nzuri ni zile aina ya Candy, achana na fidek maana hata bei Candy zipo vizuri. Candy speaker za kawaida ikiwa Double ni 900,000, Bass zikiwa Double ni 1,000,000. Mic mbili za wireless andaa 200,000 ukiongeza na zingine jumla uandae kama 500,000 upande wa mic.
Shusha Mixer ya Laki 7 mpaka Laki 8. Nunua Booster ya 1,000,000 maana bila Booster kwa mziki huu unaweza ukashangaa unapeleka au unakaanga Mixer kila siku.
Mkuu, pia usisahau Generator pamoja na Laptop ya kupigia mziki, itapendeza kama ukinunua na External Hard Disk yenye ITB au 2TB.
Kila la Heri Mkuu!!!
Mimi Mkuu ni DJ kanisani, sijapiga vyombo vikubwa saaana ila wastani.Asanteni sana vijana wenzangu kwa michango mizuri. Nami ninahitaji kujilipua kwenye biashara hii ya muziki na nimeshakusanya pesa zinazokaribika kama 10M hivi kwa ajili ya kununua vifaa hivyo. Sasa ninaomba mnishauri nianzie wapi, I mean duka zuri ambalo linauza vifaa genuine, aina za speakers katika levels zote tatu (Bass (double), Midi na Highs), aina na idadi ya booster, crossover, DBX, Equalizer na Mixer. Vitu ambavyo nimekuwa nikifuatilia so far ni PC (ninapenda sana windows pc) so nimeona HP Envy 8GB RAM 1TB Hard Disk inaweza kufaa kuanzia, pia DJ Console (DJ Controller) katika utafiti wangu nikaona Pioneer XDJ-RX itaweza kufaa. Pamoja na hayo ningeomba nipate maelekezo ya namna ya kupanga equipment katika DJ Kit, yaani kifaa kipi kikae juu ya mwenzake. Ninaombeni mnishauri katika hayo na msisite kunikosoa au kunirekebisha pale ambapo nitakuwa nimefanya machaguo ambayo sio. Ninatanguliza shukrani.
Ninashukuru sana ndugu yangu Aleyn ...nipo hapa ninasubiri muendelezo, sitoki[emoji144]Mimi Mkuu ni DJ kanisani, sijapiga vyombo vikubwa saaana ila wastani.
Upande wa Spika Mkuu kanunue FIDEK, kkoo kuna duka linaitwa Bethlehem, nenda hapo utapata hizo Spika. Zinatema balaa, ninaposema zinatema yaani namaanisha zinatema kwelikweli. Hapa nazungumzia Speaker za Mid na sio Bass.
Bass kamuone mnyama mmoja anaitwa Oprah, nunua single bass ziwe mbili, zinatosha kabisa Mkuu.
Mic kanunue walau ziwe 4, nunua ambazo ni UHF na sio VHF, ni vema kunanunua na Betr za Sony ambazo ni rechargable pamoja na Charger flani hivi, nikipata muda nitakuwekea na picha zake.
Mixer kanunue YAMAHA, wana wakala wao pale njia ya Uhuru, Mixer ya njia 16 inatosha kabisa maana mziki wako sio wa Kanisani.
Nitaendelea.....
Namba sijaisoma vizuri kakaKuna mziki nimeutuma toka marekani mwezi wa 8 mwishoni utakuwa umefika kama uko serious nicheki 13474817213
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wapi mrejesho?Hii mada imekua somo tosha kwangu, michango imekua ya maana saaana. Naamin tuliokrtk harakati za kuanza biashara hizi tutaleta mrejesho.
Ndio mkuu, strictly for business, katika sehemu zote za Burudani na Public Adress. So nahitaji product ya uhakika.
Mkuu usihangaike na hivyo vitu kwa hapa Bongo utaishia kununua vitu feki tuu...kwa msaada zaidi chungulia link hiyo..kama huwezi namna ya kuagiza nicheki PM ntakusaidia fuatilia link hii Complete DJ System | eBaymwenye kujua bei ya vifaa vya mziki, mixer ya njia tatu, spiker,amplyfire, na nyaya zake nataka nianze biashara ya disco na matangazo. pia kama kuna zaidi ya vifaa nilivyo orodhesha anisaidie
Asante sana mkuu[emoji120]Mkuu usihangaike na hivyo vitu kwa hapa Bongo utaishia kununua vitu feki tuu...kwa msaada zaidi chungulia link hiyo..kama huwezi namna ya kuagiza nicheki PM ntakusaidia fuatilia link hii Complete DJ System | eBay
Mkuu hapa sijakuelewa, yani hapa ni achague kimoja wapo, au izo zote awe nazo?kwa hiyo m4 unapata speker Tu, tena fedek Na waka sio cand au opra, jbl ndio kabisaa hugusi. Bass nzuri kwa sasa Ni opra, inauzwa ml 1.1 doble inasoma 2.2mill ,hiyo ya single Ni 1000 watts rms,peak Ni 2000w pmpo. Bass fidek yai singe ni laki 8.5 ina 800wts rms, double ni 1.6 mln, mid fidec ni laki 8 800wts rms,Mid nzuri Ni candy inauzwa laki 950 mpaka 1 mln . Ni nzuri sababu zina tweeter kubwa Na Ni imara,haziunguzi crossover au coil ya tweeter ivyo, Ni nzuri kwa mziki wa nje Na ndani. Booster fidek p7000 inakutosha bei Ni Kati ya 1.5 Na p 5000 Ni 1.3 milion. Crossover candy Ni laki 2.5 au 3,equlizer Ni Kati yalaki 3 mpaka saba kulingaba Na sina,ila dbx 2channel inakutosha kwa laki 3.5
Ungeweka na model yke na picha bila kusahau bei yake mkuuSio vibaya kufuta kauli, sasa hivi ninafuta kauli. Fidek toleo jipya ni mziki mwingine, zile spika zinatema balaa.
Nimependezwa mada hii,nahitaji vyombo vya mziki kanisani,naomba msaada wakoMimi Mkuu ni DJ kanisani, sijapiga vyombo vikubwa saaana ila wastani.
Upande wa Spika Mkuu kanunue FIDEK, kkoo kuna duka linaitwa Bethlehem, nenda hapo utapata hizo Spika. Zinatema balaa, ninaposema zinatema yaani namaanisha zinatema kwelikweli. Hapa nazungumzia Speaker za Mid na sio Bass.
Bass kamuone mnyama mmoja anaitwa Oprah, nunua single bass ziwe mbili, zinatosha kabisa Mkuu.
Mic kanunue walau ziwe 4, nunua ambazo ni UHF na sio VHF, ni vema kunanunua na Betr za Sony ambazo ni rechargable pamoja na Charger flani hivi, nikipata muda nitakuwekea na picha zake.
Mixer kanunue YAMAHA, wana wakala wao pale njia ya Uhuru, Mixer ya njia 16 inatosha kabisa maana mziki wako sio wa Kanisani.
Nitaendelea.....