Natafuta system ya mziki mixer, spiker nk

Ungeweka na model yke na picha bila kusahau bei yake mkuu
Picha kwa sasa sina mkuu ila fidek ni namba nyinginez tulinunua toka 2016, mpaka sasa tunabadili coil tu ila spika zinatema mziki utadhani ni mpya.
 
Kwa hyo haupo karibu nayo?? Nipate model number yake??
 
Picha kwa sasa sina mkuu ila fidek ni namba nyinginez tulinunua toka 2016, mpaka sasa tunabadili coil tu ila spika zinatema mziki utadhani ni mpya.
Kwann mnaunguza coil Mara kwa Mara?

Naomba specs za amp unayotumia na spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…