Natafuta vijana wa kuwapatia vitendea kazi kwa mikataba

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,387
Reaction score
10,965
Salaam!

Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa.

Vitendea kazi vyenyewe ni hivi:

1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja ni Karcher K2 na nyingine ni Stramm 2000W. Hizi zote ni mashine ndogo, zinaweza zisifae sana kwa matumizi ya 'car wash'. Ila zikafaa kwa usafi wa pavings na pavements, kapeti za majumbani, lodges na hotels, kuosha 'boda boda' n.k. Picha zake hizi hapa:

20250321_173451.jpg
20250321_173534.jpg
20250321_173503.jpg
20250321_173841.jpg
20250321_173742.jpg
20250321_173725.jpg
20250321_175233.jpg

20250321_175102.jpg

Hizi nilinunua kitambo kidogo pale Game Store. Hivyo hata bei zake sikumbuki.

2. HHO engine carbon cleaning machine: hii inatumika kuondoa carbon deposits kwenye mifumo ya combustion engines kwa kutumia mchanganyiko wa hewa za hydrogen na oxygen kwa msaada wa electrolytes. Machine ina sehemu ya kuchanganya maji na electrolytes. Mchanganyiko huu uzalisha hydrogen na oxygen ambazo ndiyo usafisha hayo masalia ya kaboni ndani ya engine. Mashine hii inaweza kutumika kwenye garage, pia kwa kuwa ni portable inaweza kutumika kama mobile engine servicings. Pia kwa kutymika pamoja na OBD2 diagnosis machine, mashine hii inaweza kusafisha DPF na EGR kwenye gari zenye diesel engines. Picha zake hizi hapa:

20250321_171340.jpg
20250321_171451.jpg
20250321_171701.jpg
20250321_171819.jpg
20250321_173222.jpg

Hizo hapo juu ndiyo electrolytes zinazochanganywa na maji kuzalisha hydrogen na oxygen kuondoa kaboni. Wakati wa kusafirishwa, baadhi zilimwagika na kupelekea kuharibu rangi ya mashine kama inavyoonekana.

Hii nilinunua kwa £950. Ingawa sasa inauzwa £1,299.

Screenshot_20250323_095834_eBay.jpg

Screenshot_20250323_095948_eBay.jpg

3. Mahle Ozone pro generator: hii ni mashine inayozalisha ozone (O3) ambayo ni oxidizing agent, kuua bacteria, fungus, mold na virus ndani ya gari, cabins za lorries n.k.. Pia mashine hii inatumika kama 'sanitizer'; inaondoa harufu mbaya ndani ya gari na hata ndani ya chumba (mf. kwenye lodges na hotels), na kusafisha hali ya hewa tu ndani mwa gari na chumba pia. Ninazo mbili. Zinaweza kutumika kama huduma ya nyongeza kwenye 'car wash', pia kwa wale wafanya usafi wa mahotelini na majumbani. Picha zake hizi hapa:

20250321_170248.jpg
20250321_170356.jpg
20250321_170517.jpg

20250321_175444.jpg
20250321_175630.jpg

Hizi nilizinunua kwa nyakati tofauti na bei tofauti. Moja kwa £495

20250321_172246.jpg

Nyingine kwa £539.45
20250321_170949.jpg

Sasa kwa hivi vitendea kazi, natafuta vijana ambao wapo tayari kuingia makubaliano maalum na mimi juu ya kuvitumia hivi vifaa kutengeneza kipato. Makubaliano yenyewe yatahusisha mimi kuingia mkataba wa kisheria na kijana husika na kukubaliana kutumiwa kiasi fulani cha pesa kila wiki. Eneo la kufanyia kazi ni juu ya kijana husika. Mimi kwa maana hiyo ni kuwa namkodisha kijana vitendea kazi, kijana anavifanyia shughuli ya uzalishaji, kisha ananitumia kiasi cha pesa tutakachokubaliana.

Kwa aliye tayari kuchakarika, aweke namba yake ya simu, kisha nitazungumza naye na kusikia mpango kazi wake. Kisha tukikubaliana, tutaingia mkataba wa kuanza kutumia kitendea kazi husika.
 
Attachments

  • 20250321_175444.jpg
    20250321_175444.jpg
    317.9 KB · Views: 39
Salaam!

Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa.

Vitendea kazi vyenyewe ni hivi:

1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja ni Karcher K2 na nyingine ni Stramm 2000W. Hizi zote ni mashine ndogo, zinaweza zisifae sana kwa matumizi ya 'car wash'. Ila zikafaa kwa usafi wa pavings na pavements, kapeti za majumbani, lodges na hotels, kuosha 'boda boda' n.k. Picha zake hizi hapa:

View attachment 3280315View attachment 3280316View attachment 3280318View attachment 3280319View attachment 3280320View attachment 3280322View attachment 3280325
View attachment 3280335
Hizi nilinunua kitambo kidogo pale Game Store. Hivyo hata bei zake sikumbuki.

2. HHO engine carbon cleaning machine: hii inatumika kuondoa carbon deposits kwenye mifumo ya combustion engines kwa kutumia mchanganyiko wa hewa za hydrogen na oxygen kwa msaada wa electrolytes. Machine ina sehemu ya kuchanganya maji na electrolytes. Mchanganyiko huu uzalisha hydrogen na oxygen ambazo ndiyo usafisha hayo masalia ya kaboni ndani ya engine. Mashine hii inaweza kutumika kwenye garage, pia kwa kuwa ni portable inaweza kutumika kama mobile engine servicings. Pia kwa kutymika pamoja na OBD2 diagnosis machine, mashine hii inaweza kusafisha DPF na EGR kwenye gari zenye diesel engines. Picha zake hizi hapa:

View attachment 3280336View attachment 3280337View attachment 3280339View attachment 3280340View attachment 3280342
Hizo hapo juu ndiyo electrolytes zinazochanganywa na maji kuzalisha hydrogen na oxygen kuondoa kaboni. Wakati wa kusafirishwa, baadhi zilimwagika na kupelekea kuharibu rangi ya mashine kama inavyoonekana.

Hii nilinunua kwa £950. Ingawa sasa inauzwa £1,299.

View attachment 3280371

View attachment 3280377

3. Mahle Ozone pro generator: hii ni mashine inayozalisha ozone (O3) ambayo ni oxidizing agent, kuua bacteria, fungus, mold na virus ndani ya gari, cabins za lorries n.k.. Pia mashine hii inatumika kama 'sanitizer'; inaondoa harufu mbaya ndani ya gari na hata ndani ya chumba (mf. kwenye lodges na hotels), na kusafisha hali ya hewa tu ndani mwa gari na chumba pia. Ninazo mbili. Zinaweza kutumika kama huduma ya nyongeza kwenye 'car wash', pia kwa wale wafanya usafi wa mahotelini na majumbani. Picha zake hizi hapa:

View attachment 3280354View attachment 3280355View attachment 3280356
View attachment 3280358View attachment 3280359

Hizi nilizinunua kwa nyakati tofauti na bei tofauti. Moja kwa £495

View attachment 3280364
Nyingine kwa £539.45
View attachment 3280367

Sasa kwa hivi vitendea kazi, natafuta vijana ambao wapo tayari kuingia makubaliano maalum na mimi juu ya kuvitumia hivi vifaa kutengeneza kipato. Makubaliano yenyewe yatahusisha mimi kuingia mkataba wa kisheria na kijana husika na kukubaliana kutumiwa kiasi fulani cha pesa kila wiki. Eneo la kufanyia kazi ni juu ya kijana husika. Mimi kwa maana hiyo ni kuwa namkodisha kijana vitendea kazi, kijana anavifanyia shughuli ya uzalishaji, kisha ananitumia kiasi cha pesa tutakachokubaliana.

Kwa aliye tayari kuchakarika, aweke namba yake ya simu, kisha nitazungumza naye na kusikia mpango kazi wake. Kisha tukikubaliana, tutaingia mkataba wa kuanza kutumia kitendea kazi husika.
Good Idea, God Bless you
 
Mhhh, hapa umeamsha hisia zangu aisee. Nilipokuwa mfunzoni Zanzibar nilikuwa napenda sana hivi vitendea kazi vya kujilipua....unalipa shillingi ngapi kwa mtu anayejilipua makanisani au kwenye madaladala?
 
Sijakuelewa! Mimi kulipa tena? Mimi natafuta vijana ambao wataweza kutumia hivi vitendea kazi kwa makubaliano ya kunilipa kiasi fulani cha pesa wanazopata katika kutumia vitendea kazi hivi.
 
Nimeona unatangaza mabomu ya kujilipua na ndiyo maana nimekuuliza hivyo
 
Back
Top Bottom