Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo

Asalam aleikum.

Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️

© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana

© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #
Kaka yake shetani
 
Mshangazi upooo
 
Nipo hapa ila sina dini wala hofu ya mungu.... tunafanyaje sasa.
 
Asalam aleikum.

Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️

© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana

© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #
MSIMKUBALI JAMANI HUYU MKE WANGU KABISA NA HATUJAGOMBANA TUPO SAWA KABISA. ANATAFUTA KICK TU.
 
Asalam aleikum.

Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️

© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana

© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #
Nipo hapa madam💋
 
Back
Top Bottom