Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo

Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo

Asalam aleikum.

Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️

© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana

© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #

Na hutakuja kumheshimu hata ukimpata! Ila wanawake? Changamoto sana!
 
Mindset ya single Mama na mtazamo wa Jamii ya wanaume haviendani Kabisa, just stay single ( ushauri wa Bure huu ), only if you are well financial and look for someone with nothing!
 
Dada utapata wa kukuoa take easy tu uwe makini na wahuni wengine watataka waonje tu harafu wakimbie hasa ukiwa kwenye hali hiyo...
 
Back
Top Bottom