Acha kuombea watoto wa wenzako vibaya. Utaanza kufa wewe kwanza Ili tuoneshwe kaburi lakoMimi nipo ila sharti ni moja tu....unionyeshe kaburi la mzazi mwenzako
AsanteMungu akutimizie haja ya moyo wa
AsanteKira rahel kwenye kupata kilichobora
Jidanganye hivo hivo😀😀😀tunaolewa vizuri kabisa na watu wa maana sana kuwashinda ata ambao sio single mama. Hio fikra Yako kuhusu singles mother's inabidi uirekebishe kichwani kwakoMindset ya single Mama na mtazamo wa Jamii ya wanaume haviendani Kabisa, just stay single ( ushauri wa Bure huu ), only if you are well financial and look for someone with nothing!
Jibu safi kabisa umempa, nakuuliza unaswali swala Tano?Acha kuombea watoto wa wenzako vibaya. Utaanza kufa wewe kwanza Ili tuoneshwe kaburi lako
Sana kabisa airekebisheJ
Jidanganye hivo hivo😀😀😀tunaolewa vizuri kabisa na watu wa maana sana kuwashinda ata ambao sio single mama. Hio fikra Yako kuhusu singles mother's inabidi uirekebishe kichwani kwako
Jibu safi kabisa umempa, nakuuliza unaswali swala Tano?
Ok ni Allah atakufanyia wepesi hasa akipatikana huyo mtarajiwa, je ukiacha hapa kwenye jukwaa anakupataje? Maana si mambo yote watafunguka hapaHapana Kutokana na majukumu ya kazi yangu baadhi zinanipita
Si Kila mtu amuone atamuona mlengwa tu mda ukifikaAmbatanisha na picha tafadhali!?
Ndiyo bro..ukiona fursa ichangamkie..yanafundishikaMkuu unataka kuoa,?🤣
Una tako?Asalam aleikum.
Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️
© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana
© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #
namimi naongezeaAma kweli mkaa bure sio sawa na mtembea bure.
Habar ushapta mme?Asalam aleikum.
Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️
© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana
© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #
Kwa miaka (36) hiyo uliyo nayo sahau kupata mume wa kumuita mume wako popote utakapo maana hakuna mwanaume wa kukuvumilia wewe bila kuwa na kipozeo kingine nje.Asalam aleikum.
Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️
© sifa za mume nimtakae :-
Miaka kuanzia 38
Ukiwa na watoto itapendeza sana
© Sifa zangu:-
Miaka 36
Mtalaka
Watoto wawili
#Asalam aleikum #