Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo

J
Mindset ya single Mama na mtazamo wa Jamii ya wanaume haviendani Kabisa, just stay single ( ushauri wa Bure huu ), only if you are well financial and look for someone with nothing!
Jidanganye hivo hivo😀😀😀tunaolewa vizuri kabisa na watu wa maana sana kuwashinda ata ambao sio single mama. Hio fikra Yako kuhusu singles mother's inabidi uirekebishe kichwani kwako
 
J

Jidanganye hivo hivo😀😀😀tunaolewa vizuri kabisa na watu wa maana sana kuwashinda ata ambao sio single mama. Hio fikra Yako kuhusu singles mother's inabidi uirekebishe kichwani kwako
Sana kabisa airekebishe
 
Una tako?
 
Habar ushapta mme?
 
Kwa miaka (36) hiyo uliyo nayo sahau kupata mume wa kumuita mume wako popote utakapo maana hakuna mwanaume wa kukuvumilia wewe bila kuwa na kipozeo kingine nje.

Zingatia neno kipozeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…