Habari wakuu,
Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu.
📌 Vigezo ninavyohitaji:
Kuku wa nyama waliokomaa vizuri (ready market size).
Bei ya jumla (nafuu kwa biashara ya reja reja).
Uwepo wa uhakika wa supply ya kila wiki.
Location: Naishi Dar es Salaam, lakini niko tayari kuchukua mzigo kutoka mikoani (mfano Morogoro, Pwani n.k.) mradi usafiri uwe mzuri.
âś… Kama wewe ni mfugaji, shamba la kuku, au unafahamu mtu/shamba linaloweza kun supply kwa kiwango hiki, tafadhali wasiliana nami moja kwa moja kwa PM (Inbox) au namba ya simu 255782167078/255713944980
Normal or Whatsapp available
tutakayokubaliana kwa mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani kwa ushirikiano.