Natafuta wana ambao ni Introverts

Huyu ni mimi kabisa, ila hapo kwenye kutafuta marafiki sidhani kama ni sahihi. Rafiki hatafutwi, urafiki unajengwa na mazingira yanayokukutanisha na huyo rafiki. Binafsi nenjoy maisha yangu, sioni kama napungukiwa kitu kuwa mwenyewe muda mwingi ila nnachoona kwako ni kama una upweke so huenda siyo introvert ila una shida sehemu.
 
Shida iko wap
 
Nilivokuwa introvert akili nyingi naona uvivu mpaka kutyp kiufupi sijawahi kua na rafiki wa kindaki ndaki katika maisha yangu
 
Introvents don't share feelings🤔😪
 
Introvents don't share feelings🤔😪
 
Introverts ni miongoni mwa watu adimu sana duniani unaweza kuwakuta wengi kwenye nchi za watu wenye IQ kubwa kama japan na korea na nchi za ulaya uko kiufupi ni watu wenye akili balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…