Mstaarabu Tz
Member
- Jul 18, 2020
- 22
- 50
- Thread starter
- #41
KwhyoUrafiki ni jambo la asili kama ilivyo mambo mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwhyoUrafiki ni jambo la asili kama ilivyo mambo mengine
Kwel kabidaKuhusu hiyo aina ya watu kuna kitu kimoja nimekifahamu,
Mara nyingi hao watu wakikuzoea wanaongea balaaa na akiongezeka hata mtu hapo hapo ambae hana mazoea nae anapiga kimnya hapo hapo
Ni wagumu kuzoeana na kila mtu ndio maana wanaonekana wako wenyewe wenyewe na inafikia hatua baadhi ya watu kuwaona ni watu wapole kumbe hakuna watu manyoka kama hao wazee wa kulia wenzao timing wakugonge kwenye mshono
tupo hapa....familiaHabari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap
Vipi lile suala let la kuka nikuoneshe machineNa wao wako maghettoni kwaoo wamechill kivyaoo, na hawataki huo urafikiii
Pambanaaaa Broooh!!! Au nije mie nikuchachue, utakua Extrovert wa kushantaaa soon tyuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatareeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
Nakusikiliziaa weyeee bwasheeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi lile suala let la kuka nikuoneshe machine
Ndio wanakuita kondeboy soap..Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap
Sure??tupo hapa....familia
............Ndio wanakuita kondeboy soap..
Unauza soap?
Unachochea umaskin kivip kakaHahahaha zamani nilikuwaga mkimya mkimya ila nikaja kugundua nitakufa maskini aiseee.Uchumi wa Tanzania unataka utoke magetoni uweke uintrovert pembeni upige domo upate pesa.
Hivi hivi nyie maintrovert mtaishia kuajiliwa labda wachache wenu wenye extraodinary talents napo kwa bongo ngumu kutoboa labda ungekuwa mambele.
Sema naskia wengine wanaona kama sifa flani hivi kujiita introvert kutokana na stori za chini chini kwamba hawa jamaa wanakuwaga akili mingi et
Aisee kama na wewe unajifanyisha toka getoni utakufa maskini pimbi wewe ila kama hujifanyishi kama kashakaji flan hivi kapo humu basi Mungu akufanyie wepesi.
Sema hiyo personality mimi naona kama inachochea umaskini hivi
Hakika mkuuintroverts hatuna muda wakutafuta rafiki. Mara nyingi tunaamini tunajitosheleza wenyewe mpaka maisha yatunyooshe kweli ndio tunafosi u extrovert 😂
oyaaa kwa hiyo na mimi ni introvert, rafiki zangu wachache wanavyonijua sivyo nzengo inavyonijuaKuhusu hiyo aina ya watu kuna kitu kimoja nimekifahamu,
Mara nyingi hao watu wakikuzoea wanaongea balaaa na akiongezeka hata mtu hapo hapo ambae hana mazoea nae anapiga kimnya hapo hapo
Ni wagumu kuzoeana na kila mtu ndio maana wanaonekana wako wenyewe wenyewe na inafikia hatua baadhi ya watu kuwaona ni watu wapole kumbe hakuna watu manyoka kama hao wazee wa kulia wenzao timing wakugonge kwenye mshono
Introverts mbona hatuna muda na marafiki!
Dah kevoo nlipoteza namba yako......Habari.......!