Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.

Nashukuru kwa kufunguka. Umeongea ukweli ambao wengi wanauogopa.
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Nakupongeza kwa dhati kwa uwezo wako wa kuunda vyama vya wavuta bangi na wanywa gongo huko Mara, bila shaka utakuwa msaada mkubwa wa kuunda vyama vya kitaifa!
 
Hata chama kitoke mbinguni bila katiba mpya ni kazi bure !! CCM imechoka ila katiba iliyopo inakilinda na chenyewe kuwa kama sehemu ya dola.
Katika nchi yetu huwezi kutenganisha Dola na CCM wote ni wamoja na hapa ndipo tatizo la msingi la nchi yetu lilipo. kwangu mimi priority wa sasa ni katiba mpya tu.
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
tanzania hatuhitaji chama kingine cha siasa. vilivyopo ni vingi vinatosha. Kwa Africa fursa hiyo bado inapatikana Rwanda. Nenda huko ukaanzishe chama cha siasa.

Bila shaka kagame atakupokea kwa mikono saba
 
Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.
Kumbuka atakayekisajili hicho chama chako ni mwana CCM kidakindaki na ana report kazi zake zote kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, jibu umeshalipata.
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Kweli nchi hii bado tupo hoi bin taaban kifikra !! Yaani unakiri kabisa kwamba hivyo vyombo vyote ulivyovitaja vipo kwa maslahi ya Ccm na kwamba chama chochote cha upinzani hapa nchini kama kikiwa strong ni lazima kikutane na mkono wa chuma kutoka hivyo vyombo ulivyovitaja ?? Duh !! Ukistaajabu ya Musa kweli utayaona ya firauni !! Kumbe chama cha upinzani kikiwa imara maana yake ni UHALIFU ! lazima kishughulikiwe !! Duh ! Bandugu !! Katiba mpya ni muhimu sana iondoe hii kitu !!
 
Uchaguzi ni maigizo ya kuhalalisha mikopo na misaada..na kupunguza 'joto' yasije tokea ya Libya...kimsingi rais wa nchi anateuliwa na deep state,hata kule dodoma huwa ni maigizo tu....mamvi alisema 'mwenyekiti alivuka taa za ubungo na majina matano mfukoni'....yalipobaki matatu,mlengwa akaachwa na upinzani dhaifu
Lakini Hao wanaoitwa deep state ni watu wa kutoka taasisi gani ??! Maana nijuavyo Mimi deep state huwa siku zote ni Neutral na wala huwa sio wale wanaopenda sana kulamba Asali !!
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Unataka kuunda terror group wewe.

Soma maelezo yako uyaelewe kwanza
 
Wape umoja party/SKG🤔.Kwa namna hiyo nafikia kukubali kama nawe ulikuwa mmoja wawalio,wanao ihujumu chadema,na hata kufikia zile kesi mchongo ,pamoja na Narukami yamikutano ya hadhara ,ikiwa ni pamoja na hata Ile ya ndani na Ile ya kudai katiba mpya enzi ya babu Yako🚶
 
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.

Imebidi nicheke tu, mifumo ipo imara kisha kila siku madini yanatoroshwa! Kuna wanaosema kifo cha Magufuli sio cha kawaida, hiyo mifumo ilikuwa wapi? Vinginevyo ukanushe hii porojo yako.
 
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.

Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.

Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.

Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.
CCM ni KINYONGA wa KIJANI na MANJANO.

Kinyonga hutaga mayai na kuyatunza Mahali, muda ukifika, huyameza na kupanda juu kabisa ya mti,

Hujiachia na kuangukia MWAMBA au kitu kigumu Ili afe na tumbo lipasuke na mayai yabadilike kuwa watoto.

CCM italazimika kujimaliza Kwa kuruhusu KATIBA mpya ije Ili vizaliwe vyama vingine Kwa maslah mapana ya nchi.

Angalizo: CCM ni DINI Wala Si Chama Cha siasa kama tunavyodhani.

Ameeeeen.
 
Catholic church movement!!?

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA
 
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.

Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na Chama Cha Upinzani ili awe makini muda Wote Kiuingozi wake na Watu wa CCM wasibweteke bali nao muda mwingi wawe Wanaumiza Vichwa kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Tanzania haiwezi kuwa 'imesizi' hivi Kisiasa na haichangamki. Pia nataka tuwe na Chama Cha Upinzani Imara ili hata Polisi na Watu wa Usalama wa Taifa muda wote wawe Wanakasirika tu na Kukinunia kwa 'Spana' za uhakika ili tuweze kumsaidia Rais Samia asijione kuwa ameshazimaliza Changamoto zote za Kijamii, Kiuchumi na za Kimaendeleo za Watanzania.

Nataka nikiunde hiki Chama ili angalau kila Wiki Watendaji wake wake wanaitwa ama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini au kwa DCI au pale Central Police Station kwa Mahojiano zadi.

Sharti Kuu la Watu ambao watapenda kuwa tayari niwatengenezee Chama Cha Upinzani Imara na Makini Tanzania nzima ni kuwa naturally Wawe ni Intelligent, wawe Wakweli daima, wasioogopa Kufa na wasiwe Wanafiki na wakubali Kuteseka Kimaisha (Kufa na Tai Shingoni) kwa Maslahi ya Tanzania ya sasa na ile ya Kesho na Keshokutwa.
Anzisha chako tukuone
 
genta hao unaowatafuta nakurahisishia hawako bongo hii, aya yako ya Mwisho kwenye sharti kuu zoezi lilishafeli
 
Una magatizo makubwa.
UnaTafuta watu badala ya kuanzisha chama wewe mwenyewe?
 
Ngoja tuendelee kupiga soga tu maana jioni ishaingia tayari, ni Jambo gumu hilo maana kati ya nyumba kumi, nyumba nane wanafamilia ni wanafiki,waoga,walamba viatu na baada ya kutoa nane kati ya hizo kumi,mbili zilizobaki tayari washamuachia mungu,kumuachia huko mungu ni Kama hivyo kuombea kiongozi afe,aumwe,avunjike tu viungo nk, hivyo Basi jua kabisa kuwa kati ya nyumba kumi mbili wanaombea viongozi wafe na nane zlzobak ni wanafiki,waoga nk...au labda waliomuona mzee nyerere wote wafariki ndiyo kitapatikana hicho chama unachokitaka maana wavuta bangi tutajazana humo, hahahhh...
 
Back
Top Bottom