econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Labda ufanye mapinduzi na mapinduzi yenyewe kuyakamilisha ni ngumu na hata yakifanyika kudumu kwa masaa mawili tu ni bahati.
Mungu tu aamue ila hiyo ni habari nyingine. Mifumo yetu ipo imara sana mkuu.
Hakuna kitu utafanya watu wasijue. Utajulikana tu.
Kwahiyo hizo ndoto potezea endelea na mambo mengine.
Nashukuru kwa kufunguka. Umeongea ukweli ambao wengi wanauogopa.