Ngugi wa Malindi
Member
- Jan 10, 2018
- 26
- 44
Kunya kitandani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi za mama kizimkazi zote upewe wewe.Sitaki tuachane kuna sehemu tu nataka niende sasa njia zote za kuaga zinafel na nikiondoka bila kuaga nitaachwa bora yeye ndo anikosee
[emoji1787]Au muulize dunia ni flat au duara?
Akijibu duara mwambie huwezi kukaa na mwanaume hajui kitu kidogo tu kuwa dunia ni flat.
Akikujibu ni flat mwambie huwezi kukaa na mwanaume hajui kitu kidogo tu kuwa dunia ni duara.
Hapo utakuwa umepata sababu ya kumuacha.
Muombe million 10 January
Mbona ilo sio jambo zito
Kakuoa?Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka,
Nataka anipige nikimbie
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeomba tukushauri au unataka utushauri jinsi ya kukushaur?