Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

Badala ya kuchukia atasononeka tu
Aise kuna watu wanateseka kwa kweli"eti atasononeka tu" imagine ndiyo mke wa mtu ndy anamtafutia mume wake visababu ili apate kisingizio akimbie nyumba kisa kanyimwa ruhusa! Pengine ulinyimwa hiyo ruhusa kwa sababu haina mashiko. Wewe utakuwa una mipango haribifu huko unakoenda siyo bure.[emoji41]
 
Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka,
Nataka anipige nikimbie
Jinsia yako kwanza wewe ni Me au Ke? Yaan wewe ni Me unataka kuondoka kwa Me alafu Mimi nikupe ushauri?
 
Sitaki tuachane kuna sehemu tu nataka niende sasa njia zote za kuaga zinafel na nikiondoka bila kuaga nitaachwa bora yeye ndo anikosee
Ndio maana huwa nasema mwanamke anajua nini anataka na atatumia kila mbinu ili afanikishe anachohitaji. Sasa unaweza kuta mnabishana na mnakorofishana kwa jambo dogo tu uko serious kumbe mwenzako ana malengo yake umtandike akakamilishe jambo lake. Halafu eti unaenda kumuomba msamaha ndio anarudi kumbe mwenzako anakuona we boya tu.

Halafu unaweza kuta ana miadi ya kwenda kupigwa mashine
 
Au muulize dunia ni flat au duara?

Akijibu duara mwambie huwezi kukaa na mwanaume hajui kitu kidogo tu kuwa dunia ni flat.

Akikujibu ni flat mwambie huwezi kukaa na mwanaume hajui kitu kidogo tu kuwa dunia ni duara.

Hapo utakuwa umepata sababu ya kumuacha.
😂😂😂😂Watu mna ushauri dah
 
Kama unataka akuzibue Ndio ukimbie,mnyime papuchi kama wiki Kwa visingizio then Ile unampa hakikisha unapiga kelele za utamu mpaka mwisho huku ukitaja jina langu nakuhakikishia utaenda kwenu na upungufu wa meno.
 
Back
Top Bottom