Dra Maxie
Senior Member
- Dec 9, 2022
- 143
- 216
- Thread starter
- #41
Yaan nataka baadae kosa liwe upande wake yeye ndo aniombee msamaha afu ntamsamehe nirudiiiMaana yake huna sababu ya kumuacha umemchoka tu,
Anza kuchepuka atakudaka tu sikumoja.
Kwanini unataka akupige? Au unamtafutia kesi uende ustawi wa jamii umchune hela sio?