Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

Sajili namba nyingine kwa NIDA tofauti na Yako. , alaf isave kwa jina la kiume kwenye simu Yako. Install Whatsapp ya pili kwenye hiyo hiyo simu, but sajili kwa hiyo namba nyingine.

Then Anza kujichatisha kwa hiyo namba nyingine huku ukijitumia porn. Baada ya hapo, uninstall hiyo whatsp nyingine, then wait.

Nakuhakikishia akiziona hutokimbia, bali utakimbizwa hospital.
Asantee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wanaume hua hatutupani,unampa mbinu Mwanamke ya kumuangamiza Mwanaume mwenzako?

Mleta mada anatakiwa apigwe spana mpaka aache huo ujinga.
 
no, ain't mean kwamba wewe ndo una mzaha, ila mimi siwezi kuact kama mchepuko wakati sio kweli
Ni mpenz wang na nina mpenda sana ila sasa ana a lot of limitations na sababu zangu zote kwake hazina mashiko
 
Back
Top Bottom