Maliza kwanza masomo yako vizuri, ukimaliza vizuri njoo hapa tutakushauri, elimu ni bahari pia ndiyo ufunguo wa maisha yakoWakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.
Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.
Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer
Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi
Karibuni sana munisaiidie
Sawa naweza kumalizia Sasa wapi ntapata hayo mafunzo??Maliza kwanza masomo yako vuzuri
Bongo ukikutana na mtu kavurugwa... usimcheke. Na wewe mda wako utafika tuu!Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.
Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.
Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer
Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi
Karibuni sana munisaiidie
Kabla ya kusoma hiyo course tafuta mtaalam wa psychology akusaidie haupo sawa una mawengeWakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.
Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.
Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer
Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi
Karibuni sana munisaiidie
washirikishe wazazi wako hili swala kama unaona ni sahihi sanaSawa naweza kumalizia Sasa wapi ntapata hayo mafunzo??
Sawa thanks πNi hukohuko chuo nadhani ipo hiyo kozi. Cha kufanya hamia kwenye chuo ambacho hiyo kozi ipo Kama hapo ulipo haipo
Hahah we jamaaaKabla ya kusoma hiyo course tafuta mtaalam wa psychology akusaidie haupo sawa una mawenge
Daaah Kweli poa ngoja niache fastaUnasubiri nini kuacha?
Acha fasta unachelewa,elimu haina dili ,mtaani kuna oesa sana mdogo wangu,miaka niwili tu utakuwa bilionea
Sababu ni Ajira hakuna natafuta Fani ambayo itanipa Ajira hata kama nikiendelea kusomaSijaiona sababu ya msingi ya wewe kuacha chuo.
Una tatizo kichwani, how old are youSababu ni Ajira hakuna natafuta Fani ambayo itanipa Ajira hata kama nikiendelea kusoma
Mjinga weweDaaah Kweli poa ngoja niache fasta
Anhaa sawa mkuu thanks πInategemea upo chuo gani...Ila kama unachukua Bachelor usiache kwanza maliza chuo.
Izo za kuwa Gym trainer mbona zipo Gym kubwa sehemu kibao tu za kujifunza au na kuwa Trainer inataka uwe na cheti cha degree.
ππ daahMjinga wewe