Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.
Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.
Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer
Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi
Karibuni sana munisaiidie