Nataka kuacha chuo niwe mwalimu wa mazoezi. Wapi nitapata mafunzo ya kuwa professional physical trainer?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.

Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.

Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer

Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi

Karibuni sana munisaiidie
 
Maliza kwanza masomo yako vizuri, ukimaliza vizuri njoo hapa tutakushauri, elimu ni bahari pia ndiyo ufunguo wa maisha yako

Good education will define your bright future
 
Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.

Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.

Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer

Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi

Karibuni sana munisaiidie
Bongo ukikutana na mtu kavurugwa... usimcheke. Na wewe mda wako utafika tuu!
 
Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa.

Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela.

Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer

Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa ili ili niwe mtaalamu wa mazoezi

Karibuni sana munisaiidie
Kabla ya kusoma hiyo course tafuta mtaalam wa psychology akusaidie haupo sawa una mawenge
 
Unasubiri nini kuacha?
Acha fasta unachelewa,elimu haina dili ,mtaani kuna oesa sana mdogo wangu,miaka niwili tu utakuwa bilionea
 
Daaah Kweli poa ngoja niache fasta
 
Inategemea upo chuo gani...Ila kama unachukua Bachelor usiache kwanza maliza chuo.
Izo za kuwa Gym trainer mbona zipo Gym kubwa sehemu kibao tu za kujifunza au na kuwa Trainer inataka uwe na cheti cha degree.
 
Anhaa sawa mkuu thanks 👍
 
Back
Top Bottom