Nataka kuacha kazi niingie kwenye kilimo nishaurini

Kama kichwa kinavyo jieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushaur na jins ya kupata masoko...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa andiko lako msukumo wa ww kuacha kazi na kufanya kilimo ni kwa kua umeona kilimo biashara kinalipa, swali langu, UMEONA ONAJE KUWA KILIMO BIASHARA KINALIPA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili tuonekane hatukuzibiii cha kwanza tukukaribishe karibu kilimo kinalipa ila jiandae:-
  • mtaji wa kutosha usiochanganywa na fedha ya kula
  • ufikirie na ujiridhishe kuwa unaweza pata hasara hata kwa miaka 3 mfululizo kwa kutarajia gunia 300 ukapata gunia 28
  • soko linaweza kuyumba
yapo mengi ila usiache kazi kama huna mtaji na muda wa kutosha wa kushughulika na kilimo.
 
Tengeneza mabanda,, ufuge njiwa, zinalipa sana Mkuu hutojuta nakuambia
hii kweli kuna mtu alianza na njiwa kama wanne akiwa na umri mdogo sana chini ya miaka 10 lakini mpaka leo bado familia inafaidika na njiwa hao kama kitoweo huku yeye akiwa na miaka 50 hivyo mradi umekaa zaidi ya miaka 40 sasa.
 
Inalipa sana,, unaweza ukaacha ajira ukajikita zaid kwenye ufugaji wa njiwa,,

hii kweli kuna mtu alianza na njiwa kama wanne akiwa na umri mdogo sana chini ya miaka 10 lakini mpaka leo bado familia inafaidika na njiwa hao kama kitoweo huku yeye akiwa na miaka 50 hivyo mradi umekaa zaidi ya miaka 40 sasa.
 
hii kweli kuna mtu alianza na njiwa kama wanne akiwa na umri mdogo sana chini ya miaka 10 lakini mpaka leo bado familia inafaidika na njiwa hao kama kitoweo huku yeye akiwa na miaka 50 hivyo mradi umekaa zaidi ya miaka 40 sasa.
Kwa hiyo faida yake ni kitoweo kwa familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…