Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Heshima kwenu wakuu, mimi ni mwajiriwa wa Serikali, mshahara wangu ni kima cha kati kama milioni hivi kwa mwezi, actually unanitosha kwa kula tu. Nina mtoto mmoja. Mrs. Pia ni mwajiriwa serikalini, mshahara wake ni kima cha chini, Kwa miaka almost 6 nimekuwa nikiishi kwa kukopa bank hivo niliishi kwa robo tu ya mshahara wangu.
Tayari nina kwangu, Ninataka nikope tena 15mil niwekeze kwenye ufugaji wa kambare. I hope sitafeli maana nitawekeza nusu ya hela kwenye samaki, na nusu ingine natumia kujilipia ada ya kusoma udsm, hapo nitakuwa nalipwa mshahara na baada ya 3yrs nitakuwa nimemaliza deni na biashara ya samaki itakuwa na mwelekeo, hapo ndo nitaamua kuacha ama kuendelea na kazi.
Ushauri wenu wajuzi wa maneno.