Nataka kuacha kazi nijikite kwenye ufugaji wa samaki

Nataka kuacha kazi nijikite kwenye ufugaji wa samaki

katika beseni..[emoji23][emoji23][emoji23] natania

na mashamba mawili.. DAR pamoja na Mlandizi...

Dar.. ninafuga kwangu.. nimetengeneza la kutosha samaki elf 15 mpk elf 20..

mlandiz nimewek la kutosha elf 50 na kuendelea
hahaha et kwenye beseni

Hongera mkuu Fanya kumsaidia ABC huyo jomba alieanzisha uzi
 
Katika biashara zote hyo ya samaki ndio pata potea kabisa.
Ukikosea kuweka chakula tu kesho unawakuta wote wameelea juu.
Au ikiingia material yoyote yenye asili ya sumu wote wanakufa wakati huo wewe upo darasani unasoma halaf unadaiwa ada ambayo unategemea uuze samaki ndio uipate.
Kambare anakula hata kinyesi, na anakaa mazingira magumu.
 
Huna uwezo wakuacha kazi yamshahara wamilioni moja wewe, nakama unataka kuchizi acha hiyo kazi uone,

Ulishazoea kutafuniwa kazi yako nikumeza tu. Mazingira yanchi yetu sio rafiki sana yamtu kujiajiri nakuwa bosi yeye kama yeye. Ajira serikalini nzuri sana kwamazingira yetu, mapato yakishuka au yakipanda nyie waajiriwa hata amuwazi mishahara yenu ipo palepale ila sisi wafanyabiashara mapato ya serikali yakishuka tunakiona chamtemakuni serikali inaanza kuangalia njia gani zakutukamua ili nyie mlipwe nahuduma ziendelee.

NB: usiache kazi kama ulisomea Tz, maana ulisoma ili uajiriwe. Usiache kazi kama ujatokea familia inayojiweza kiuchumi nakama unataka kuchizi acha kazi mkuu.
Do not fear of the unknown things, let them happen then jua unavyopambana nayo
 
Sasa unaenda Udsm kufanya nini na unataka kufuga samaki? Nilijua utaenda SUA kujua zaidi kuhusu ufugaji wa samaki???? Au utakua mbaya unataka tuseme PhD anafuga samaki kisomi??
Udsm naenda kusoma kuongeza elimu, huku nikiwa nalipwa mshahara, ila nitajisomesha ili kurahisisha ulipaji wa mkopo wangu. Pia naenda udsm kusoma ujuzi nlioajiliwa nao ili kama nitaona kuacga kazi ngumu basi narudi zangu kazini nikiwa na nafasi kubwa zaidi
 
Mkuu unakula mlo gani wa 1m kwa mwezi! Kwa watani mnapiga 30,000/= kwa siku msosi tu.
Ushauri wangu kwako:
Maisha hayajawahi kuwa marahisi hata siku moja. Kwa vile wewe na mkeo mnafanya kazi,jitoe muhanga mjichange baada ya mwaka utakuwa umeshapata mtaji wa kama 10m.
Kumbuka utamu wa leo ndio uchungu wa kesho and viceversa.
Soma post yangu kwa makini utaielewa
 
katika beseni..[emoji23][emoji23][emoji23] natania

na mashamba mawili.. DAR pamoja na Mlandizi...

Dar.. ninafuga kwangu.. nimetengeneza la kutosha samaki elf 15 mpk elf 20..

mlandiz nimewek la kutosha elf 50 na kuendelea
Dar upo mitaa gani nikutembelee nihamasike na kujifunza.
 
wrong choice
anzisha hiyo biashara ikiwa ndogo itakuwa hapo sasa itaanza kujifinance yenyewe na wewe utakuwa una experience. ukishaona inalipa na soko lipo. sasa waweza kukopa! kuendeleza sio kukopa kuanzisha
Na huu ndio ushauri, then ajipime anaweza kuishi bila mshahara baada ya kuwekeza na kupata economic freedom.
 
Anzisha biashara hiyo kwa ulichonacho then ukiona mwelekeo ni mzuri kopa kuongeza wigo tu kisha acha kazi, na huko UDSM unakwenda kusomea nini? "Maana kama unasoma ili ulipwe na serikali basi utakuwa umefanya makosa sana

Siku hizi ukiamua ni biashara fanya biashara acha kwenda kusoma maana ada hiyo ukiiweka kwenye biashara huenda ukawa tajiri muda si mrefu
 
Heshima kwenu wakuu, mimi ni mwajiriwa wa Serikali, mshahara wangu ni kima cha kati kama milioni hivi kwa mwezi, actually unanitosha kwa kula tu. Nina mtoto mmoja. Mrs. Pia ni mwajiriwa serikalini, mshahara wake ni kima cha chini, Kwa miaka almost 6 nimekuwa nikiishi kwa kukopa bank hivo niliishi kwa robo tu ya mshahara wangu.

Tayari nina kwangu, Ninataka nikope tena 15mil niwekeze kwenye ufugaji wa kambare. I hope sitafeli maana nitawekeza nusu ya hela kwenye samaki, na nusu ingine natumia kujilipia ada ya kusoma udsm, hapo nitakuwa nalipwa mshahara na baada ya 3yrs nitakuwa nimemaliza deni na biashara ya samaki itakuwa na mwelekeo, hapo ndo nitaamua kuacha ama kuendelea na kazi.

Ushauri wenu wajuzi wa maneno.
Yaani ukope, uanzoahe mradi, afu ukasome UDSM? Mradi asimamie nani???

Jaribu. Ndo utajua kwanini nobody can stop reggae...
 
Yaani ukope, uanzoahe mradi, afu ukasome UDSM? Mradi asimamie nani???

Jaribu. Ndo utajua kwanini nobody can stop reggae...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ajaribu halaf ndio atajua kwa nini wimbo wa Taifa hauna Video.
 
Anzisha biashara hiyo kwa ulichonacho then ukiona mwelekeo ni mzuri kopa kuongeza wigo tu kisha acha kazi, na huko UDSM unakwenda kusomea nini? "Maana kama unasoma ili ulipwe na serikali basi utakuwa umefanya makosa sana

Siku hizi ukiamua ni biashara fanya biashara acha kwenda kusoma maana ada hiyo ukiiweka kwenye biashara huenda ukawa tajiri muda si mrefu
Na kingine pia siku hizi huwa hatusomi kwa kushindana ndio maana Kuna digrii kibao zimejazana mtaani hazina ishu za kufanyia.
Kwa hyo unaweza kuona mtu mwenye certificate aliyesoma kwa malengo anamzidi mbali kimaisha mtu mwenye digrii kwa sababu ya kusoma soma tu bila mpangilio.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ajaribu halaf ndio atajua kwa nini wimbo wa Taifa hauna Video.
Kwa kweli jf ni kila kitu hadi comedy za bure zinapatikana! 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Acha kumtisha!Toa ushauri,mi mwenyewe nina fikra kama zake!
Tushaona sana watu wanashauri wenzao waache kazi wajiajiri ,mwisho wa siku mshauri anajiriwa wewe unabaki huna kazi ndiyo utajua maana yake
 
Back
Top Bottom