Nataka kuacha kazi nijikite kwenye ufugaji wa samaki

Nataka kuacha kazi nijikite kwenye ufugaji wa samaki

Heshima kwenu wakuu, mimi ni mwajiriwa wa Serikali, mshahara wangu ni kima cha kati kama milioni hivi kwa mwezi, actually unanitosha kwa kula tu. Nina mtoto mmoja. Mrs. Pia ni mwajiriwa serikalini, mshahara wake ni kima cha chini, Kwa miaka almost 6 nimekuwa nikiishi kwa kukopa bank hivo niliishi kwa robo tu ya mshahara wangu.

Tayari nina kwangu, Ninataka nikope tena 15mil niwekeze kwenye ufugaji wa kambare. I hope sitafeli maana nitawekeza nusu ya hela kwenye samaki, na nusu ingine natumia kujilipia ada ya kusoma udsm, hapo nitakuwa nalipwa mshahara na baada ya 3yrs nitakuwa nimemaliza deni na biashara ya samaki itakuwa na mwelekeo, hapo ndo nitaamua kuacha ama kuendelea na kazi.

Ushauri wenu wajuzi wa maneno.
Katika biashara zote hyo ya samaki ndio pata potea kabisa.
Ukikosea kuweka chakula tu kesho unawakuta wote wameelea juu.
Au ikiingia material yoyote yenye asili ya sumu wote wanakufa wakati huo wewe upo darasani unasoma halaf unadaiwa ada ambayo unategemea uuze samaki ndio uipate.
 
Huna uwezo wakuacha kazi yamshahara wamilioni moja wewe, nakama unataka kuchizi acha hiyo kazi uone,

Ulishazoea kutafuniwa kazi yako nikumeza tu. Mazingira yanchi yetu sio rafiki sana yamtu kujiajiri nakuwa bosi yeye kama yeye. Ajira serikalini nzuri sana kwamazingira yetu, mapato yakishuka au yakipanda nyie waajiriwa hata amuwazi mishahara yenu ipo palepale ila sisi wafanyabiashara mapato ya serikali yakishuka tunakiona chamtemakuni serikali inaanza kuangalia njia gani zakutukamua ili nyie mlipwe nahuduma ziendelee.

NB: usiache kazi kama ulisomea Tz, maana ulisoma ili uajiriwe. Usiache kazi kama ujatokea familia inayojiweza kiuchumi nakama unataka kuchizi acha kazi mkuu.
 
Sasa unaenda Udsm kufanya nini na unataka kufuga samaki? Nilijua utaenda SUA kujua zaidi kuhusu ufugaji wa samaki???? Au utakua mbaya unataka tuseme PhD anafuga samaki kisomi??
 
hao samaki Kambare sikushauri saana.. ila wanafaa

ungejarib kufuga Samaki aina ya Tilapia.. wana soko la uhakika sana.. but kuwatunza uwe nao makini.. ila wana hela nzuri

~vifaranga
~bei ya kuwauza

tofaut na hawa kambare ingawa nao wanahitajika ila sio kama Tilapia.. ambaye anauzwa in good prices na wateja wanakufata (kampuni)

nimewekeza almost baada ya one year outcomes inasoma 40mil.. mpk 70mil inategemea sasa.
 
Ok outcomes inasoma mil 40,na capital jumla ilikugharimu mil ngapi?
 
Ok outcomes inasoma mil 40,na capital jumla ilikugharimu mil ngapi?
inategemea sasa... kuna mambo ya kuzingatia

gharam za kuandaa bwawa
~maji yapo?
~bwawa lipo
~vifaa vya kuandaa
~watumishi..
na vitu kama hivyo vingi

gharama ya hao vifaranga utakao waweka na idadi yake unataka ngap...?

gharama ya matunzo..

unaweka kijana?
chakula...
na vitu vingine..

ukifanya calculations kulingana na hali.yako uliyonayo.. ndio utapata Actual capital required..
 
Kama vyote sina halaf ndio nataka nianze ili mwakani niipate hyo outcome ya mil 40
 
Kama vyote sina halaf ndio nataka nianze ili mwakani niipate hyo outcome ya mil 40
ardhi ni muhim katk hii ishu.. so kadiria ardhi unayoitaka ni ina thamani gani? ukishapata thamani ya ardhi unayoitaka ndio naweza kukutajia estimates zilizobak maan kuna sehem ardhi hat mil 1 unapata.. unaend sehem nyingine bila mil 10 huipati ingawa zinaendana..
 
Ardhi huku nilipo ni 4 milion kwa ukubwa wa 20x20 Metres.
 
Ardhi huku nilipo ni 4 milion kwa ukubwa wa 20x20 Metres.
ukipata ardhi ya kutosha.. ndio jinsi utakapo weka samaki wa kutosha.. so ukiwa na kama mil 10.. kazi kwisha.. una uhakik wa mil 70 zako within 1yr siri hii watu hawaijui
 
ukipata ardhi ya kutosha.. ndio jinsi utakapo weka samaki wa kutosha.. so ukiwa na kama mil 10.. kazi kwisha.. una uhakik wa mil 70 zako within 1yr siri hii watu hawaijui
Dah sikujua mkuu nimechezea sana hela Kama hizi siku za nyuma.
Na je ww ulienda kusomea mahali hayo mambo ya ufugaji au umejifunzaje?
 
Mkuu unakula mlo gani wa 1m kwa mwezi! Kwa watani mnapiga 30,000/= kwa siku msosi tu.
Ushauri wangu kwako:
Maisha hayajawahi kuwa marahisi hata siku moja. Kwa vile wewe na mkeo mnafanya kazi,jitoe muhanga mjichange baada ya mwaka utakuwa umeshapata mtaji wa kama 10m.
Kumbuka utamu wa leo ndio uchungu wa kesho and viceversa.
 
Dah sikujua mkuu nimechezea sana hela Kama hizi siku za nyuma.
Na je ww ulienda kusomea mahali hayo mambo ya ufugaji au umejifunzaje?
hapana.. sijasomea but kuna Ndugu yangu yeye ndie aliyenishawishi kujaribu hii.. maana yeye ni professional kuliko mie.. nimefanya ku copy and paste zile strategy zake..
 
hao samaki Kambare sikushauri saana.. ila wanafaa

ungejarib kufuga Samaki aina ya Tilapia.. wana soko la uhakika sana.. but kuwatunza uwe nao makini.. ila wana hela nzuri

~vifaranga
~bei ya kuwauza

tofaut na hawa kambare ingawa nao wanahitajika ila sio kama Tilapia.. ambaye anauzwa in good prices na wateja wanakufata (kampuni)

nimewekeza almost baada ya one year outcomes inasoma 40mil.. mpk 70mil inategemea sasa.
good advice ila ongeza nyama kidogo jamaa ajifunze zaid
 
Unafugia wapi?
katika beseni..[emoji23][emoji23][emoji23] natania

na mashamba mawili.. DAR pamoja na Mlandizi...

Dar.. ninafuga kwangu.. nimetengeneza la kutosha samaki elf 15 mpk elf 20..

mlandiz nimewek la kutosha elf 50 na kuendelea
 
Back
Top Bottom