Nataka kuacha kazi nijikite kwenye ufugaji wa samaki

katika beseni..[emoji23][emoji23][emoji23] natania

na mashamba mawili.. DAR pamoja na Mlandizi...

Dar.. ninafuga kwangu.. nimetengeneza la kutosha samaki elf 15 mpk elf 20..

mlandiz nimewek la kutosha elf 50 na kuendelea
hahaha et kwenye beseni

Hongera mkuu Fanya kumsaidia ABC huyo jomba alieanzisha uzi
 
Kambare anakula hata kinyesi, na anakaa mazingira magumu.
 
Do not fear of the unknown things, let them happen then jua unavyopambana nayo
 
Sasa unaenda Udsm kufanya nini na unataka kufuga samaki? Nilijua utaenda SUA kujua zaidi kuhusu ufugaji wa samaki???? Au utakua mbaya unataka tuseme PhD anafuga samaki kisomi??
Udsm naenda kusoma kuongeza elimu, huku nikiwa nalipwa mshahara, ila nitajisomesha ili kurahisisha ulipaji wa mkopo wangu. Pia naenda udsm kusoma ujuzi nlioajiliwa nao ili kama nitaona kuacga kazi ngumu basi narudi zangu kazini nikiwa na nafasi kubwa zaidi
 
Soma post yangu kwa makini utaielewa
 
katika beseni..[emoji23][emoji23][emoji23] natania

na mashamba mawili.. DAR pamoja na Mlandizi...

Dar.. ninafuga kwangu.. nimetengeneza la kutosha samaki elf 15 mpk elf 20..

mlandiz nimewek la kutosha elf 50 na kuendelea
Dar upo mitaa gani nikutembelee nihamasike na kujifunza.
 
wrong choice
anzisha hiyo biashara ikiwa ndogo itakuwa hapo sasa itaanza kujifinance yenyewe na wewe utakuwa una experience. ukishaona inalipa na soko lipo. sasa waweza kukopa! kuendeleza sio kukopa kuanzisha
Na huu ndio ushauri, then ajipime anaweza kuishi bila mshahara baada ya kuwekeza na kupata economic freedom.
 
Anzisha biashara hiyo kwa ulichonacho then ukiona mwelekeo ni mzuri kopa kuongeza wigo tu kisha acha kazi, na huko UDSM unakwenda kusomea nini? "Maana kama unasoma ili ulipwe na serikali basi utakuwa umefanya makosa sana

Siku hizi ukiamua ni biashara fanya biashara acha kwenda kusoma maana ada hiyo ukiiweka kwenye biashara huenda ukawa tajiri muda si mrefu
 
Yaani ukope, uanzoahe mradi, afu ukasome UDSM? Mradi asimamie nani???

Jaribu. Ndo utajua kwanini nobody can stop reggae...
 
Yaani ukope, uanzoahe mradi, afu ukasome UDSM? Mradi asimamie nani???

Jaribu. Ndo utajua kwanini nobody can stop reggae...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ajaribu halaf ndio atajua kwa nini wimbo wa Taifa hauna Video.
 
Na kingine pia siku hizi huwa hatusomi kwa kushindana ndio maana Kuna digrii kibao zimejazana mtaani hazina ishu za kufanyia.
Kwa hyo unaweza kuona mtu mwenye certificate aliyesoma kwa malengo anamzidi mbali kimaisha mtu mwenye digrii kwa sababu ya kusoma soma tu bila mpangilio.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ajaribu halaf ndio atajua kwa nini wimbo wa Taifa hauna Video.
Kwa kweli jf ni kila kitu hadi comedy za bure zinapatikana! 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Acha kumtisha!Toa ushauri,mi mwenyewe nina fikra kama zake!
Tushaona sana watu wanashauri wenzao waache kazi wajiajiri ,mwisho wa siku mshauri anajiriwa wewe unabaki huna kazi ndiyo utajua maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…