Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miaka sita toka niajiriwe kwenye kampuni flani,
Mshahara wangu ni tsh 800000 kwa mwezi ambao ukikatwa na makato pamoja na marejesho ya mkopo napokea tsh 421000 kwa mwezi
Familia yangu ni ya watu watatu yani mama,baba,na mtoto mmoja
Nimebahatika kununua Noah mbili ambazo nazifanyia biashara kila moja inanipatia tsh 40000 kwa siku ni sawa na 80000 kwa noah zote mbili
Kwa mwezi ni sawa na 2400000,kiasi ambacho ni Mara tatu ya basic ya mshahara wangu
Nina leseni ya udereva na wakati mwingine naendesha mwenyewe,
Sasa nataka niache kazi ya kuajiriwa ili nijikite zaidi kwenye biashara maana naona inalipa zaidi
Naombeni ushauri
omba_yasikukute_mimi_ni_chui_niliyejeruliwa_am_speaking_through_my_experienceHizi ndio mentality za Watanzania wengi. Yuko radhi kung'ang'ania ajira ya laki 7 ila anaogopa kuchukua risk ya biashara inayoweza kumuingizia 3m
Kwahio bad experience yako ndio rule kwa wengine? Kuanguka kupo, ukianguka unainuka unaangalia umejikwaa wapi....sio ku-give up.omba_yasikukute_mimi_ni_chui_niliyejeruliwa_am_speaking_through_my_experience
Mbona tayari jibu unalo? Compare your net salary and income from your Noah's ambazo nazo unapigwa si chini ya asilimia 40 ya unacholetewaNina miaka sita toka niajiriwe kwenye kampuni flani,
Mshahara wangu ni tsh 800000 kwa mwezi ambao ukikatwa na makato pamoja na marejesho ya mkopo napokea tsh 421000 kwa mwezi
Familia yangu ni ya watu watatu yani mama,baba,na mtoto mmoja
Nimebahatika kununua Noah mbili ambazo nazifanyia biashara kila moja inanipatia tsh 40000 kwa siku ni sawa na 80000 kwa noah zote mbili
Kwa mwezi ni sawa na 2400000,kiasi ambacho ni Mara tatu ya basic ya mshahara wangu
Nina leseni ya udereva na wakati mwingine naendesha mwenyewe,
Sasa nataka niache kazi ya kuajiriwa ili nijikite zaidi kwenye biashara maana naona inalipa zaidi
Naombeni ushauri
Jobless Na wanafunzi changamkieni fursa,but be very carefulKama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye internet.Kwa ufafanuzi ukishindwa kujiunga nitafute 0718115516.unaweza kunitumia meseji wasap au kwa njia ya kawaida.bonyeza sasa link hii
TheJobTasks.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
Nimekupata vema mkuuktk mambo ambayo ni uamuzi mgumu ni pamoja na kuacha kazi mkuu ktk watanzania 100 utakaowaomba ushauri sidhani kama hata 10 watafika wakao kupa moyo juu ya uamuzi wako zaid sana ni vitisho tuu nothing else
Mkuu kuendelea kung"ang'ani kuajiriwa ni kukaribisha umaskini nyumbani kwako kwa speed ya 4G haiwezekani ukomae kulinda ajira yenye basic ya 800k uache kuisimamia kazi inayokuingizia 2.4ml punguza uoga mkuu fanya uamuzi sahihi otherwise hata hizo noa zako zitapote cha msingi kuwa makini tu all the best mkuu