Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Mume wangu yupo na mke wa kaka yake wala hawajifichii wanadai wao wanapendana sasa kwa mujibu wa familia wanadai nasi tuoane namie sijaridhia but nimekaa nikawaz whats gong to happen kwanini mke wake anaganda kwa mume wangu ni nini?? Ila cha kusikitisha kashasign divorce papers. Na sasa watoto ndio napigana naye ili nipate full custody ya watoto wangu hadi wake. Ndio bibi kasema ili niweze kuwasaidia wanasupport niolewe na shemeji yangu nahisi siwezi ishi uzeeni mwenyewe naolewa naye tu tena dar kisiwaume. Ila huyu mume wa zamani kasema ataua mtu nikamwambia sawa aue hata mnyama. Maana tunambwa . Nampenda ila nilimpenda shemeji zaido anajua anajua anajua tena so kazi ni kwangu watoto wetu pande mbili wamefurahi tunaoana wanajua tulivyo na uhalali na hii ndoa
 
We bado mtoto mambo haya huwezi kuelewa hata kidogo.

Kumuacha mke ambae ushazaa nae tena watoto wa kutosha si jambo rahisi hata kidogo. Zinahitajika busara ya hali ya juu na sio kukurupuka.
 
Kama wote mmeridhia hapo tatizo halipo na divorce mahakamani ipo tayari hapo sawa. Wasiwasi wangu mtaendelea kupeana tu. Pili mnahitaji uvumilivu kustahimili aibu hiyo maana watoto wakikuwa watajua kila kitu na watawashangaa sana
 

Nina uhakika Kuna sababu ya yeye kuondoka ambayo ujaisema, ndugu yangu sababu Pekee ya kuacha mke uliyezaa naye watoto 3 ni umalaya. Jishushe, rudisha mke, wahuni tu ndo watakushauri ufanye huo ujinga.
 
Unataka ushauri gani tena mkuu?yaan mke wako aende usipopajua kwa miezi 3 halafu bado unaomba ushauri hapa?


Mwongo huyu, alimtimua, anataka kutusumbua kuhalalisha ujinga wake, ukiona mwaume analalamika kuisha kwa mafuta ya kula, Mchele na gas, ujue ana wendawazimu.
 
Mwongo huyu, alimtimua, anataka kutusumbua kuhalalisha ujinga wake, ukiona mwaume analalamika kuisha kwa mafuta ya kula, Mchele na gas, ujue ana wendawazimu.
Kila mtu anaukichaa mkuu ndio maana muda mwingine tunahitaji ushauri kabla ya kutenda. Sikumpiga wala kumtimua. Wa kwao mwishoni kabla hajaondoka alikuwa anaongea nao sana tena akiwa ameenda kwa jilani. Huyo jilani nilimpiga marufuku kutumia simu yake maana huwa namuwekea salio la SMS na kupiga dakika 300 kwa wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…