Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Ndio maana huwa tunaambiwa tuangalie sana nasabu ya mwanandoa lengo ni kujua tabia za familia yao

Ukiona familia inamtetea mwanandoa bila sababu za msingi ujue hapo kuna tatizo,familia makini haiwezi kulea huo ujinga

Marehemu mkwe wangu alikuwa hataki ujinga kabisa,,binti akienda kwake bila taarifa maalum ujue lazima atarudishwa

Nilipo mwacha mke wangu pamoja na kutoa talaka kwa maandishi lkn bado alinipigia na kuniuliza baba "umetoa talaka kwa hiari yako mwenyewe" nikamjibu ndiyo ndio akaridhika

Lakini hawa wazazi wanao sema kwani mwanangu kwenu umeua mpaka uogope kurudi hawa wabaya sana
Na ndio wanaosambaratisha sana ndoa za mabinti wasasa. Mzazi anafuatilia maisha ya binti yake utadhani anamla. Inakera balaa.
 
Bembeleza Mke wako murudiane.

Sijaona hata semehemu mlipokosana. Ila mmechokana, ndio maana akaenda kupumzika.

Acha kutafuta matatizo kwenye maisha. Ukitaka hao watoto waishi kwa shida, oa mke mwingine.

Pili, badilisha life style. Mpe kazi ya kufanya, mdungulie genge ili awe busy kidogo.

Pole, ila humu utaambulia hasira za watu.
Kutishana tu. Watoto waishi kwa shida kwan maisha yao yote watakuwa hapo nyumbani kwa baba yao?

Watoto unakaa nao sana ni hadi wakifika miaka 20 then wanaenda kujitegemea, sasa watatesekaje?

Ni wewe tu kumpangia utaratibu huyo mke mpya maana hata yeye anajua hao watoto sio wake so anawalea kwa huruma tu na si lazima awapende moyoni kama wakwake bali anatakiwa kuwa jali tu kwa upendo na hisani ya Mama.
 
Easier said than done
 
Mfume dume unashida gani kama ndio mfumo wa kuendesha maisha yakaenda?

Kwahiyo akirudi kwao ndio anasolve tatizo au kumkomoa jamaa?

Akaunti yake inafaida gani kwa mwanaume kama haitamuhusu matumizi yake?

Yeye mwanamke akifa familia itaendeshwa na nani, kwann mwanaume ndie wa kutabiriwa kufa kwan wapi iliandikwa mwanaume hufa kwanza, wauwaji wakubwa ninyi.
Ukiwa hujaelewa kitu uliza

Maelezo yanaonesha ni muhanga
 
Nani kakwambia kuwa wazazi hawajamuuliza kwa nini karudi??? Huyo Bwana amefanya juhudi gani za kwenda kwa wazazi wa mke kuuliza kwa nini mke wake kaenda huko miezi yote hiyo? Badala ya kwenda kuuliza analeta upuuzi wake JF!!!! Huyo ni mwanaume kweli???!!!! Halafu kuna mzazi gani atakubali binti yake ateseke tu kwa mwanaume asiyejielewa eti kwa sababu ya ndoa???!!! Acheni kusikiliza mambo ya upande mmoja jamani!!! Hakuna mwanamke anakimbia ndoa bila ya sababu!!!
Yani mwanamke sijamfukuza kaondoka mwenyewe,halafu niende kuuliza kwao kwanini kaondoka!!!? ,labda kama kaniroga vinginevyo atasubir sana
 
Mjukuu wa Magika nishauri nimeachana na mume wangu kisa anatembea na amezaa mtoto 1 naye mke wakaka yake. Tumelijua hilo tulilivumilia sasa tushauriana kuwaaacha kwa sababu sisi ni waaminifu ni mbaya tukioana na shemeji yangu wao wakae pamoja?? Maana kuna siku tuliamua kuonjeshana tu ili kiu zikate . Unaonaje swali hilo
 
Kama shemeji yako na mke wake walifunga ndoa na inajulikana sio poa nyie kuoana maana jamii itawashangaa sana. Kikubwa endelea na mme wako lakini pia punguza ukaribu na shemeji yako ili ndoa zenu zidumu vinginevyo zitavunjika. Mapungufu na matatizo yaliyotokea myasahau msonge mbele katoto kazuri
 
Back
Top Bottom