Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Kwanza hama huko uswahilini maana nyumba ambazo zimepangwa vizuri na kuna geti ni ngumu mambo yakuombana chumvi sijui mkaa. Alafu kama kaondoka miezi mi3 huyu umemuoa kwa ndoa au ikoje hii? Na nyie ni dini gani?
Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema. Mimi nimejenga mkuu sijapanga nashukuru Mungu
 
Ndugu zake wanafahamu maana ndiko alipo ndugu zangu nimewajuza pia
Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema.
Kwa kuwa ndoa ilihusisha viongozi wa dini, na wazazi pande mbili, na kwa sasa pande zote wana taarifa, basi na viongozi wa dini nao wanapaswa kushirikishwa kabla ya kuchukua maamuzi yako ya mwisho.

- Nasisitiza maamuzi yako ya mwisho yafuate baada ya tafakari ya kina ukizingatia tayari una watoto wanao hitaji malezi toka kwa wazazi wote wawili.
 
Unakosea sana kuongea nae,ungepiga kimya au ukabadili kabisa namba yako,yeye mwenyewe angekutafuta,

Kitendo cha kuwasiliana nae ni kama umeridhika yeye kua huko,

Piga kimya endelea na maisha yako wala usimuulizie wala asijue habari zako wala habari za watoto,

Mkeo alishakuona kua wewe ni dhaifu sana kwake ndio maana anakuchezea,

Kaza mkuu,kua na roho ngumu na yakikatili,huyo atarudi mwenyewe kisha unamfukuza arudi alipotoka.
Huyu hawezi! Siku mkewe akirudi atamkumbatia kwa bashasha huku anabubujikwa na machozi ya furaha

Ukiona mtu anakuja humu kuomba ushauri wa namna hii jua kabisa hajiwezi kwa mkewe, tofauti na hapo angefanya uamuzi sisi angetuletea mkasa wa kutupa taarifa na sio Ushauri
 
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume achana naye. Hakuna ushauri mwingine

Pole sana ulioa malaya. Malaya ni kama kunguru huwa hafugiki

Ni ngumu sana malaya kumfanya mke lazima atakusumbua tu

Kama Tina sasa hivi huko alipo anatombesha kwa mwanaume/wanaume wengine

Halafu unasema ninataka yaani mpaka leo haujafanya maamuzi acha ubwege, piga chini umbwa hiyo
wewe umesikia stori ya upande mmoja halafu umeanza kumuhukumu mke kama malaya.

Wacha hiyo.
 
Akienda mwenyewe hatakiwi kuludi sifa ya mwanaume ni kutoyumba katika msimamo , pili lazima uwe na bajeti wakioverspend zaidi ya bajeti Amna nyongeza adi bajeti nyingine ifikiwe . Usipoweza control bajeti ya familia mbona mengine yatakuwa magumu
 
Kwa kuwa ndoa ilihusisha viongozi wa dini, na wazazi pande mbili, na kwa sasa pande zote wana taarifa, basi na viongozi wa dini nao wanapaswa kushirikishwa kabla ya kuchukua maamuzi yako ya mwisho.

- Nasisitiza maamuzi yako ya mwisho yafuate baada ya tafakari ya kina ukizingatia tayari una watoto wanao hitaji malezi toka kwa wazazi wote wawili.
Nitazingatia mkuu, japo hata viongozi wa dini wana taarifa ila sijawaambia uamuzi wangu nilionao. Nashukuru kwa ushauri wako mkuu 🙏
 
Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema. Mimi nimejenga mkuu sijapanga nashukuru Mungu
Sawa ila weka fensi sasa maana ushaona changamoto hizo, la dini tuliache,
sasa mke kaondoka...... kwao umeuliza? Na yeye mke umethibitisha ni mzima? Kama ndio mtafute akupe sababu kwann kaondoka then utaamua wewe utakachoona kinafaa kuamua”

Ila ushauri wangu kaa kimya akirudi muache alee watoto kuna vitu wake au waume wanafanya solution ni kukaa kimya, kumuacha yeye ajione kakuwin ili hali wewe unafocus kwa watoto wako” hata kama utajua analiwa jifanye hujui mkifanikiwa kufika mika50 utaona atanyooka mwenyewe, haya maisha hakuna aliye kamilika na kubwa zaidi ni watoto” kusema watapata mama mwengine hili ni tatizo lingine na linaweza kukumaliza.
 
Back
Top Bottom