Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Hivi viumbe bana,juzi tu nipo dukani jamaa anamsimulia muuza duka kuwa mwanamke wake aliondoka tu nyumbani,jamaa alimbembeleza sqna mwanamke arudi akakataa tena akamwambia jamaa hatakuja kupata mwanamke,jamaa alikuja kupata mwanamke mwingine akaoa na siku ya harusi eti hilo shetani lilikuwepo sijui lilikuwa linajisikiajej
 
Ndivyo walivyo. Siraha yao kubwa hudhani utaharibikiwa akikuacha na ninahisi baadhi ya wanawake huwa ni chanzo cha kutokuendelea
 
Mmhh anagawa vyakula! Ukute hakuna anachogawa labda wewe ndo wale wanaume ukinunua nyama unahesabu vipande vya nyama kwenye sufuria licha ya kutokuwa msaliti wa mapenzi we naye jichunguze unafeli wapi maana maelezo yako yana ualakini mkubwa! Mwanamke aliyeamua kuolewa akuzalie watoto watatu afu akurupuke tu awaache sio RAHISI yaani sio RAHISI na usifikiri itakuwa rahisi kiiivo mwanamke mwingine kulea watoto wako, watoto ambao walizoea malezi ya mama mzazi....hakuna aliye mkamilifu tafuta mke wako myamalize punguza gubu na uchoyo na kumpiga, nimeona comment yako ukimjibu gammaparticles muda huu kaondoka bila kumpiga inamaana huwa unampiga kachoka na upumbavu wako hata utayemuoa atakuja atachoka tu na ataenda
Hii comment ijengewe mnara!!!! You have nailed it!!!
 
Pole Mkuu,pamoja na mashauri yote utakayopokea,mwenye uamuzi wa mwisho ni wewe,maana mzigo ulioubeba jirani Yako hawezi juwa uzito wake.
 
Aahah hivi kuna mzazi anaweza kuruhusu binti yake ambaye kaolewa arudi kwao anakaa miezi 3 hawamuulizi kulikoni mbona umerudi? Au ni wazazi wa siku hizi?
Nani kakwambia kuwa wazazi hawajamuuliza kwa nini karudi??? Huyo Bwana amefanya juhudi gani za kwenda kwa wazazi wa mke kuuliza kwa nini mke wake kaenda huko miezi yote hiyo? Badala ya kwenda kuuliza analeta upuuzi wake JF!!!! Huyo ni mwanaume kweli???!!!! Halafu kuna mzazi gani atakubali binti yake ateseke tu kwa mwanaume asiyejielewa eti kwa sababu ya ndoa???!!! Acheni kusikiliza mambo ya upande mmoja jamani!!! Hakuna mwanamke anakimbia ndoa bila ya sababu!!!
 
Alienda kwao mkuu. Wakwao wanaingilia familia yangu na ninahisi walimwambia aende. Kuhusu kumpiga muda huu kaondoka bila kumpiga
Kumbe huwa unampa kichapo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanamke ukishampiga anakuona mwenzake anatafuta mwanaume wa kumbembeleza sasa.

Cha kufanya tafuta tu mwanamke mwingine ufurahie maisha. Mwanamke wa drama huwa haachi Drama hata uzeeni. Atakusumbua sana kichwa. Mwanamke akikupenda atakuheshimu na kutii kila unalomwambia hata kama ni la kipuuzi.

Ila akiwa hana upendo na wewe atakwenda kinyume na kila unachomwamabia hata kama ni cha msingi na cha maana sana.
 
Mmhh anagawa vyakula! Ukute hakuna anachogawa labda wewe ndo wale wanaume ukinunua nyama unahesabu vipande vya nyama kwenye sufuria licha ya kutokuwa msaliti wa mapenzi we naye jichunguze unafeli wapi maana maelezo yako yana ualakini mkubwa! Mwanamke aliyeamua kuolewa akuzalie watoto watatu afu akurupuke tu awaache sio RAHISI yaani sio RAHISI na usifikiri itakuwa rahisi kiiivo mwanamke mwingine kulea watoto wako, watoto ambao walizoea malezi ya mama mzazi....hakuna aliye mkamilifu tafuta mke wako myamalize punguza gubu na uchoyo na kumpiga, nimeona comment yako ukimjibu gammaparticles muda huu kaondoka bila kumpiga inamaana huwa unampiga kachoka na upumbavu wako hata utayemuoa atakuja atachoka tu na ataenda
Umeandika ukweli tupu kutokana na maelezo yake. Asimame kama baba wa familia
 
Mifumo yenu dume hiyo ndomana wanawakimbia ,anandugu kama ulivo wewe pia bank.anatamani awe na akaunt yake ,jiulize ukifa wewe familia ataendesha nani
Mfume dume unashida gani kama ndio mfumo wa kuendesha maisha yakaenda?

Kwahiyo akirudi kwao ndio anasolve tatizo au kumkomoa jamaa?

Akaunti yake inafaida gani kwa mwanaume kama haitamuhusu matumizi yake?

Yeye mwanamke akifa familia itaendeshwa na nani, kwann mwanaume ndie wa kutabiriwa kufa kwan wapi iliandikwa mwanaume hufa kwanza, wauwaji wakubwa ninyi.
 
Back
Top Bottom