Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Wana jamvi,

Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!

Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.

Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.

Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.

Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Mwanamke anapoondoka au kutoroka kwake kama huyo usihesabu ni mkeo hasta kama viongozi was dini au serikali wakikushauri namna gani!!

Alipokua anagawa vitu hovyo ulipaswa kumwambia aamue Moja kuishi hapa au kwenu!!
 
Najua kuachana ni process ngumu sana kwenye mahusiano, huenda yeye au wewe mmoja ana changamoto ambayo haivumiliki. Ila kwa vile kaondoka, ni vema ukamtafuta ili muwekane sawa kabla ya kufanya maamuzi mengine magumu.
 
Nitaangalia kama nitaweza kurejea maamuzi kaka

Mbona kama yeye ndo kakuacha. Unacho takiwa hapo ni kusema ndio mkuu na kuoa pisi mpya uendelee kufaidi mema ya dunia.

After all. Mke kashakuzalia watoto wa3 unataka nini tena kwake?

Vuta mali mpya. Mlee watoto.
 
Hapa tatizo kubwa lipo kwa familia ya mkeo.
Anasikiliza na kufuata kila anachoambiwa na mama kuhusu ndoa yake.
Hata hivyo anavyovigawa inawezekana vinakwenda kwao (Kama mnaishi karibu).

Kama anagawa kwa mashosti basi mazingira mnayoishi ni yenye uswahili mwingi wa kugongea mpaka mchuzi.

Ama la! Tatizo lipo kwako, unaishi nae kibabe, hafurahii ndoa yenu.
Kumwekea chakula ndani sio hitaji pekee kwa mwanamke, ukizingatia hana shughuli ya kufanya kumuingizia kipato.
 
Wana jamvi,

Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!

Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.

Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.

Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.

Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Pole chief
 
Nitaangalia kama nitaweza kurejea maamuzi kaka
Pole sana kiongozi,
Mambo ya ndoa yamekuwa magumu sana nyakati hizi. Ila no vema mkashirikishana kabla ya wewe kufanya maamuzi mengine, huyo bado ni mke, ni mama watoto wako, hata ikiwa kuachana basi amani itawale coz kuna bond haiwezi kuwatenganisha hasi mmoja atangulie.
 
mk
Wana jamvi,

Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!

Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.

Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.

Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.

Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
mkuu mi nakuelewa pole sana
 
Sasa kama yupo kwao miezi mitatu unataka ushauri wa nn tena? Piga chini Anza maisha mapya
Kung'ang'ania mahusiano/ndoa inayokutesa ni ugonjwa wa akili pia. Jitaidi kujari afya yako ya akili kwa manufaa ya hao watoto mlinao
Alienda kwao mkuu. Wakwao wanaingilia familia yangu na ninahisi walimwambia aende. Kuhusu kumpiga muda huu kaondoka bila kumpiga
 
Back
Top Bottom