Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sijui watu wengine wakoje, huyo ni kufukuza sio kuacha. Aina hii ya wanaume wanafeli pakubwa!! Anyway Yanga bingwa tena.Unataka ushauri gani tena mkuu?yaan mke wako aende usipopajua kwa miezi 3 halafu bado unaomba ushauri hapa?
Bembeleza Mke wako murudiane.Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Kama mkeo aliondoka bila ruhusa yako ina maana kuna mtu/watu wengine anawasikiliza zaidi kuliko wewe,wakati wewe ndio final say kwako,Alienda kwao mkuu. Wakwao wanaingilia familia yangu na ninahisi walimwambia aende. Kuhusu kumpiga muda huu kaondoka bila kumpiga
AfandeKuna aina ya wanawake hata biashara hawawezi. Sasa kama anauza vitu vya ndani ataweza fanya biashara anunue hata unga wa ngano?
Watoto wawili ninao mmoja anasoma std 1 na mwingine hajatimiza muda ya skuli. Mdogo zaidi ndio alienda nae. Najua anashangaa kwa nini nimekomaa hadi sasa bila yeye kuwalea hawa watotoWatoto wote wapo shule? Au kaenda nao?
Asante mkuu kwa ushauri 🙏Afande
huyo alishakuacha kwasasa dili na wanao hao ndo ndgzako wakweli , usikimbilie kuoa jifunze wapi pamekosewa mwanzo
Unakosea sana kuongea nae,ungepiga kimya au ukabadili kabisa namba yako,yeye mwenyewe angekutafuta,Yupo kwao mkuu huwa naongea nae ila simuulizi habari ya kurudi kupitia simu ya mama yake
Ukiweza kuwa kama mtume Paulo, alisema ukiona huwezi kuoa acha, huo unaoita mtafaruku ipo kila eneo la maisha mzee, kazini utaikuta, nyumbani ndio kama hivi, kwenye familia yenu hukosi mtafaruku kifupi ni kupambana.. La ukiona ya shingo ruksa kubadilisha gear na sio kukwepa pambano, grow up.Wazee mnatutishaa sana vijana ambao bado hatujafika stage hiyo ya kuoa kila kukicha mtafaruku kweny secta ya ndoa🙌
Si ndio hapo sasa huyu bado anampenda huyo mwanamke.Kuna wanaume mna tuwakilisha kibwege kwenye ndoa, mke kakimbia miezi 3 halafu unaomba ushauri wa nini?.
Sasa bro unataka umuache, au umeachwa???Kabeba kabakiza sketi mbili na underwear moja
Kwanza hama huko uswahilini maana nyumba ambazo zimepangwa vizuri na kuna geti ni ngumu mambo yakuombana chumvi sijui mkaa. Alafu kama kaondoka miezi mi3 huyu umemuoa kwa ndoa au ikoje hii? Na nyie ni dini gani?Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Hilo linawezekana, inategemea huko ukweni wanakuonaje......wakikuona falah inawezekana.Aahah hivi kuna mzazi anaweza kuruhusu binti yake ambaye kaolewa arudi kwao anakaa miezi 3 hawamuulizi kulikoni mbona umerudi? Au ni wazazi wa siku hizi?
... unapotaka kukosea ni kufanya 'replacement' huku bado una MAKASIRIKO!Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Lakin hajasema kama alimkataza kufanya biasharaangefungua na nini hana biashara hana zaidi ,ya aamke asbuhi afagie nyumba ,aioshe mumewe asije rudi dharula ili akitaka kukanda amkande ,Dunia imegeuka tujiongeze wanaume muda mwingine turuhusu hawawatu wafanye biashara tusiwaze sana juu ya kugongewa