Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
- Thread starter
- #101
Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema. Mimi nimejenga mkuu sijapanga nashukuru MunguKwanza hama huko uswahilini maana nyumba ambazo zimepangwa vizuri na kuna geti ni ngumu mambo yakuombana chumvi sijui mkaa. Alafu kama kaondoka miezi mi3 huyu umemuoa kwa ndoa au ikoje hii? Na nyie ni dini gani?