Nataka kuachana na mwanamke

Nataka kuachana na mwanamke

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Ni muda mwingine tena.

Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.

"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize.

"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.

Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,

Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.

Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".😳😳

"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu

msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....😪😪😪"

Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwalimu.

Karibuni
 
Ukiwa na familia...matumizi yanakuwa mengi hasa yasiyotabirika.

Wakati msela ilikuwa easy kwake kuishi under bajeti.

Ila sasa ana mke bajeti imekuwa ngumu. Maana wanawake kwa asili ni watumiaji wazuri. Wanapenda kununua nunua hata kitu hana mahitaji nacho. Akikiona mradi hela ipo ananunua.

Mtoto nae ni mtumiaji mzuri sana wa pesa . Hasa kama mama yake ni mpenda manunuzi...
 
Ni muda mwingine tena.

Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta....

"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize...

"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.

Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,

Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.

Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".😳😳

"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu

msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....😪😪😪"

Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwl...

Karibuni
Mbona ulimpompenda hukutwambia. Acheni kama mlivyoingia na kutapeliana mwanangu
 
Aisee vijana wa sasa hivi wa ovyo sana.baba katulea watoto 4 kwa mshahara wa 250000 na tumesoma wote mpaka chuo,sasa 900000 vyuma vinakaza??kweli kwenye miti hakuna wajenzi
Ni wazo pia ila nadhani hiyo 250000 ya enzi hizo ya babaako ilikuwa na thamani mara 2 ya 900000 ya sasa, hebu twende pamoja
 
Mwanamke akijua kwa mwezi itaingia laki 9, basi hapo jiandae matumizi ya million na point,

Kisaikolojia hawa kina Mama Nla 'wanawake' wameubwa na tamaa inayotokana na kujua kilichopo ndani.

Ndo maan kuna watu wanaishi vizuri kwa mshahara wa laki 4 na huyo wa laki 9 maisha yanamshinda
 
Ngoja nizidishe adabu, ukute Baba K hivi anavyoniangalia najua ananiangalia Kwa upendo kumbe anawaza ananiacha lini Ili atue mzigo🤣
Sa ntaenda wapi nyiee🤣🤣
Nyie wanawake mnachosha mno mimi nimesema sioi hadi uzeeni bora nikalelewa na house girl kwa kutumia pesa zangu kuliko kuishi na tegemezi.
 
Mwanamke akijua kwa mwezi itaingia laki 9, basi hapo jiandae matumizi ya million na point,

Kisaikolojia hawa kina Mama Nla 'wanawake' wameubwa na tamaa inayotokana na kujua kilichopo ndani.

Ndo maan kuna watu wanaishi vizuri kwa mshahara wa laki 4 na huyo wa laki 9 maisha yanamshinda
Nilimshauri awali hakuamini eti laki tisa ni kubwa aiseee 😅😅😅😅...ngoja ncheke kama mazuri.. hebu mnisaidie nimshauri vipi? 😳😳
 
Back
Top Bottom