Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

Hio kazi uliipata kwa connection itakua

Ila.kwa wale walio sota mtaani and wakasota mpaka kupata hio chance hawawwzi waza huu ujinga,
 
Acha ualimu,kuna siku utaleta Uzi hapa hatutakuchangia.Jichanganye uone,unafuata mawazo ya mob,wanakushauri uache watakukimbia wote,hata kande utakosa
 
Acha ualimu,kuna siku utaleta Uzi hapa hatutakuchangia.Jichanganye uone,unafuata mawazo ya mob,wanakushauri uache watakukimbia wote,hata kande utakosa
We jamaa unanitisha mpaka naogopa
 
Naongezea Mkuu, Kuna rafiki yangu somebody Felicia shimbewangoso alikuwa na ujuaji wa hapa na pale, aliingia Kama mwalimu wa krashi programu kwa enzi hizo miaka 2016/2017, Basi bwana kapiga kazi,muda ulipoenda akaenda kusomea bachelor ya mazingira sijui na Nini huko wlipohitimu alirudi kazini Kama kawaida,maana enzi hizo ufuatiliaji ulikuwa duni,hivyo aliendelea kupiga kazi Kama kawaida na bachelor yake hiyo.

Mwaka 2016 kwenye uhakiki wa watumishi hewa si akaombwa apeleke cheti Cha taaluma ,akitoe wapi ,maana bachelor yake alisoma vitu tofauti na ualimu,mwisho wa siku akapigwa chini ,Sasa hivi hata Mia Hana,kapauka sana ,anajutia uamuzi wake.

Mwisho wa siku kwako mtoa mada, usijifunze kwa walioshindwa, fanya kile moyo wako unakutuma kufanya, Mimi pia nampango wa kusoma mambo ya community development niachane na fani ya ualimu.
Siku nyingine andika majina ya kubuni
 
Niende kwenye mada moja kwa moja

Mimi ni mwalimu kiwango cha elimu ni diploma katika masomo ya PHYSICS na BIOLOGY.

Baada ya misukosuko ya ualimu ikiwa ni pamoja na kupigwa na maisha vizuri tu,
Nimekaa na kuamua kurudi shule kusoma/kujiendeleza kielimu.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu naweza soma course gani nje ya ualimu ambayo itakuwa na tija kidogo kwa taifa letu (ualimu siutaki tena Mimi nimechoka).

Sifa ni diploma ya ualimu wa sayansi katika masomo niliyo taja (PHYSICS na BIOLOGY).

Japo kuna watu wamenishauri kwa cheti changu hicho cha diploma nikasomee bachelor of science in PHYSICS or bachelor of science in BIOLOGY .

Naombeni ushauri jamani ualimu umenishinda nimeinua mikono juu....

NAWASILISHA.

Ukiona hujui cha kufanya ila unaomba ushauri, ujue mda wa kuacha kazi bado sana.

Fursa unayoiona binafsi ndiyo sababu pekee inayoweza kukufanya uache ajira
 
Njoo Hapa Goma kwa siku naingiza milion 2 nafanya kazi kwa siku 4 za week[emoji3][emoji16]
 
Back
Top Bottom