Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

Kama una chanzo cha mapato kingine unaweza acha, lakini nakushauri usiache kazi kama huna direction, kutoka ni rahisi Ila kuingia ni shughuli pevu lakini bora hata ungekuwa na BA, ya education lakini kwa dip utaona hela haitoshi pia wapo wengi mtaani wanatamani nafasi uliyonayo.
 
Niende kwenye mada moja kwa moja

Mimi ni mwalimu kiwango cha elimu ni diploma katika masomo ya PHYSICS na BIOLOGY...
Mshikaji wangu alikuwa mwalimu shule ya msingi. Akaupiga chini akaenda kusoma diploma medicine akamaliza akapiga degree medicine sasa hivi ni doctor.

Wakati aliacha kazi ilikuwa kama masihara. Mwisho alitoboa.
 
kuosha magari posta.

kuosha magari Posta, gari moja ni Tshs 5000 , kwa siki unaosha 10 kwa wastani utapata 1.5 milioni kwa mwezi ambayo haikatwi kodi wala haina TOZO za MWIGULU wa SINGIDA ALL STARS.

Utapata hela nyingi kuliko bank Telleer wa CRDB
Sio rahisi kihivyo ndugu, kumbuka unaosha gari Kwa kutumia maji na sabuni.
 
Late 2009 kuna Mwl mmoja alifanya uamuzi kama huu unaoutaka wewe, yeye alisoma kozi fupi ya Ualimu wa Sekondari mwaka 2006 kipindi Shule za kata zimeanzishwa. Sasa alimua kwenda kusoma Degree ila aliamua kubadili kozi ya kwenda kusoma chuo, alichagua Accountancy na alifanikiwa kudahiliwa UDOM.

Wakati anaomba ruhusa kwa mwajiri wake(DED) alidanganya kuwa anaenda kusoma Ualimu akapewa ruhusa.

Baada ya kumaliza Chuo akiwa na Degree ya Accountancy akashindwa kurejea kwa mwajiri ili aendelee na kazi maana alidanganya tangu mwanzo. Akaamua kuingia mtaani ili atafute kazi. Aisee mambo yakawa magumu sana akafanya Application nyingi za kazi bila kuitwa hata Interview moja, stress si ikapiga hodi akakondeana hatari maana mwanzoni alikuwa bonge. Wenzio ambao hawakudanganya wakarejea kazini(Ualimu) bila usumbufu wowote tena wengine waliopata GPA kubwa walipangiwa Vyuo vya Ualimu kwenda kufundisha, yeye akaanza kujutia uamuzi wake.

Sasa hivi sijui yuko wapi maana mara ya mwisho nilikutana naye mwaka 2015.

Kwa hiyo binafsi nashauri kama hauna chanzo kingine cha ugali, usiache ualimu ukakimbilia kusoma kozi nyingine tofauti na hiyo Ualimu, imagine walimu wamejaa mtaani wenye degree na wanatamani wakafundishe hata Primary angalau wapate hela ya kusogeza siku
Umeongea vyema mkuu ni kweli kazi zina changamoto ila sio kukurupuka kizembe
 
Wee acha ualimu kasome chochote unachotaka... Ila am sure utamaliza chuo utazurura mtaani na bahasha miaka itaenda utakuja kugundua ulifanya maamuz ya kipuuzi... Nyie vijana acheni kudanganyana, maisha sio rahis kias hiko, sikuhiz Pilot na Engineers wanakosa kazi sembuse wew unaenda kusoma ki kozi chako uchwara... Nakushauri kaongeze elimu kasome Bachelor of Education then Kasome Masters ya kitu kingine hii itakusaidia kuhamia ktk taasisi au wizara nyingine na ndio waalim wengi wamefanikiwa kwa approach hii...
 
Ahsante ndugu lakini vipi nikienda kuchukua bachelor ya physics ama biology pasipo ualimu?
 
Late 2009 kuna Mwl mmoja alifanya uamuzi kama huu unaoutaka wewe, yeye alisoma kozi fupi ya Ualimu wa Sekondari mwaka 2006 kipindi Shule za kata zimeanzishwa. Sasa alimua kwenda kusoma Degree ila aliamua kubadili kozi ya kwenda kusoma chuo, alichagua Accountancy na alifanikiwa kudahiliwa UDOM.

Wakati anaomba ruhusa kwa mwajiri wake(DED) alidanganya kuwa anaenda kusoma Ualimu akapewa ruhusa.

Baada ya kumaliza Chuo akiwa na Degree ya Accountancy akashindwa kurejea kwa mwajiri ili aendelee na kazi maana alidanganya tangu mwanzo. Akaamua kuingia mtaani ili atafute kazi. Aisee mambo yakawa magumu sana akafanya Application nyingi za kazi bila kuitwa hata Interview moja, stress si ikapiga hodi akakondeana hatari maana mwanzoni alikuwa bonge. Wenzio ambao hawakudanganya wakarejea kazini(Ualimu) bila usumbufu wowote tena wengine waliopata GPA kubwa walipangiwa Vyuo vya Ualimu kwenda kufundisha, yeye akaanza kujutia uamuzi wake.

Sasa hivi sijui yuko wapi maana mara ya mwisho nilikutana naye mwaka 2015.

Kwa hiyo binafsi nashauri kama hauna chanzo kingine cha ugali, usiache ualimu ukakimbilia kusoma kozi nyingine tofauti na hiyo Ualimu, imagine walimu wamejaa mtaani wenye degree na wanatamani wakafundishe hata Primary angalau wapate hela ya kusogeza siku
Ahsante kaka na nitaubeba ushauri wako...pia naomba niulize swali , ni vp endapo nitaenda kusoma bachelor ya biology ama physics pasipo ualimu ? Inaweza niletea shida kwa mwajiri?
 
Back
Top Bottom