Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Kapime afya yako kwanza kuona kama unatuhusiwa kufanya au la na kwa kiasi gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutanuka moyo tena🤣🤣🤣Tulia kijana wengine tumegeuza kama chakula iko ndio kilevi tunasubiri matokeo ya kutanuka kwa moyo
napima nn na wapKapime afya yako kwanza kuona kama unatuhusiwa kufanya au la na kwa kiasi gani?!
Ndio we hujui kama utafanya mazoezi kuzidi weight yako matokeo yake ni hayoKutanuka moyo tena
mi madhara hayo nilikua sijuiNdio we hujui kama utafanya mazoezi kuzidi weight yako matokeo yake ni hayo
Nikushauri kabla ujaanza ama kama ulishaanza Omba ushauri kwa matreinner wale maaana huku watakupoteza 🤣mi madhara hayo nilikua sijui
Hata siwajui mi naanza mazoezi ya kawaida kama push up na stretchNikushauri kabla ujaanza ama kama ulishaanza Omba ushauri kwa matreinner wale maaana huku watakupoteza 🤣
mazoezi tuUnatak mazoezi au kutunisha kifua?
napima nn na wap
aisee kwaiyo unaenda hospital yakawaida unasema umekuja kufanya check up mkuu hauko serious!Hospital .
Medical check up
Aisee kweli??Ila fanya kwa kiasi Mkuu, huwa yanakata uwezo wa kujamiiana, hasa haya ya kunyanyua hayo mavitu mazito mazito
hapo sasa ndo umeelewekaHospital .
Medical check up
Hasa mfumo wa moyo.
ECHO na ECG na hali ya presha n.k
Fuatilia kiongozi, usije kusema hatukukupa ronjaAisee kweli??
😳😳hii ndo nasikia leo
Ahaaa kumbe kwaiyo ww ujawai fanya kabisa mazoezi Anza kukimbia kilomita chache kutengeneza pumzi Kisha ndio uanze mazoezi ayo unayoitaka kufanyaHata siwajui mi naanza mazoezi ya kawaida kama push up na stretch
Ndio nitaanza kukimbia mkuuAhaaa kumbe kwaiyo ww ujawai fanya kabisa mazoezi Anza kukimbia kilomita chache kutengeneza pumzi Kisha ndio uanze mazoezi ayo unayoitaka kufanya
mazoezi yanaishia wap mkuuUkianzisha jambo jitahidi liishe