Nataka kuanzisha Kabila jipya na la kisasa

Kwenye kabila letu hatutamtambua Nyerere kama baba wa taifa maana ni kabila lisilo na mipaka wala utaifa 😎
kwaiyo itakua ni kabila la taifa gani? Yani sisi tutakua tunatambulika kama watu wa nchi/taifa gani?
 
kwaiyo itakua ni kabila la taifa gani? Yani sisi tutakua tunatambulika kama watu wa nchi/taifa gani?
Ni raia wa dunia. Nilisema pale mwanzo, fikra zetu lazima ziwe futuristic. Tukiwaza kama makabila ya sasa hatutaleta jipya katika maisha ya mwanadamu 😎
 
Ni raia wa dunia. Nilisema pale mwanzo, fikra zetu lazima ziwe futuristic. Tukiwaza kama makabila ya sasa hatutaleta jipya katika maisha ya mwanadamu.
labda tuwe na nchi yetu pia,,,maana ili tuweze kushiriki mambo yoyote ya kiduniani lazima mtu atambulike anatoka taifa fulani
 
labda tuwe na nchi yetu pia,,,maana ili tuweze kushiriki mambo yoyote ya kiduniani lazima mtu atambulike anatoka taifa fulani
Ni ngumu kupata ardhi kuanzisha nchi nyingine maana tayari ardhi yote inamililiwa na watu.
Ni rahisi kuanzisha kabila ndani ya nchi.
 
Ni ngumu kupata ardhi kuanzisha nchi nyingine maana tayari ardhi yote inamililiwa na watu.
Ni rahisi kuanzisha kabila ndani ya nchi.
yeah ni rahisi, lakini muanzisha kabila kasema tutakua hatupo chini ya taifa lolote…ndo nikahoji itawezekanaje
 
Nimecheka hata sijui kwa nini
 
Kbila letu jipya tutakua tunavaa nguo za kisasa kabisa tena zile top brands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…